Serikali mkimuachia Erick Kabendera kwa shinikizo la walio nyuma yake, nitaidharau maisha yangu yote. Onyesheni msimamo thabiti

Hapo serikali ndo inapata picha kuwa jamaa alikuwa anatumiwa..
Sasa serikali imeamua kumtumia vizuri.
Kama kina rugemarila, seth, malinzi. Bado wanasota sembuse huyu
Na huyu ni wa kutulizwa kama maji ya mtungini,ili iwe lesson for others
 
Una uhakika ameonewa?
Hata Max melo mmiliki wa JF ukiandika chochote negative kuhusu yeye uzi unafutwa halafu na ban unapigwa pamoja na yeye kujinadi kama champion wa uhuru wa habari na kujieleza..
yaani kitu una mamlaka nacho afu kikusumbue
 
Asie jua maana haambiwi maana bali huachwa na upumbavu wake ,wewe ni pumbavu,
Kazi anayoifanya kabendera ni mwanzo tu ,hana tofauti na hao uliowataja,serikali ilichofanya ni kunuwahi
Wewe juha huna la kunifundisha mimi, wana CCM wenye akili kina mzee Kinana ndo mnawapiga Vita, wewe unachojua ni kula, kulala na kwenda chooni tu, zaidi ya hapo huna lolote kichwani
 
Una uhakika ameonewa?
Hata Max melo mmiliji wa JF ukiandika chochote negative kuhusu yeye uzi unafutwa halafu na ban unapigwa pamoja na yeye kujinadi kama champion wa uhuru wa habari na kujieleza..
yaani kitu una mamlaka nacho afu kikusumbue
English bora ya msomi wa CCM hiyo
Did they wrote email direct to the USA government?,or they were deeply concerned? by press released only
 
Shukrani kwa kuliweka wazi hili jambo
 
Hujui na hutajua dunia inavyoendeshwa,,karirishwa haki za binadamu na wavunjaji vinara wa haki duniani
 
Nimeweka maneno matatu tu ya kiingereza lakini ndo umeona uanzie hapo, na sidhani kama nimekosea na naamini na wewe pia umeelewa.
Unadhani press realease ndo itamfanya aachiwe?

Chalii is paying the price..
English bora ya msomi wa CCM hiyo
Did they wrote email direct to the USA government?,or they were deeply concerned? by press released only
 
Hujui na hutajua dunia inavyoendeshwa,,karirishwa haki za binadamu na wavunjaji vinara wa haki duniani
Ningependa sana kuamini ulichoandika ila nimeingiwa na mashaka kwa sababu to tell by the face of it sioni ninachoweza kujifunza kutokana na maoni yako.
Kama ni kukaririshwa kama unavyodai, nafuuu ya ukasuku wangu.
Nitajifunza siku ukiandika jambo lenye mashiko.
Nikuulize swali: Ziwe nchi za Magharibi, Mashariki, Kaskazini au Kusini, zote ni kandamizi za Haki za Binadamu. Ni serikali za mataifa na ya bara gani yamekithiri kwa ukandimizaji? Ni serikali na za mataifa kutoka bara/mabara gani zimejitokeza kutetea binadamu wanaoteswa na au kuuliwa? Ulisikia wapi mataifa ya watu walioendelea, waloostarabika, na waungwana wakitetea au kutekeleza mauaji na uhalifu wa aina hiyo nchini mwao?
Wanyarwanda walipokuwa wanauana viongozi wa Bara la Afrika hawakuwa na usaidizi.
 
Kama unataka nchi ijiamulie inavyotaka fanya harakati ya kujitoa kwenye mikataba ya haki za binadamu ili mtukaange mnavyotaka
 
Kama unataka nchi ijiamulie inavyotaka fanya harakati ya kujitoa kwenye mikataba ya haki za binadamu ili mtukaange mnavyotaka
Mikataba mnawekewa nyie mafukara,ningekua kiongozi mkuu ningepuuza tu
 
Najua wengi hamtaamini hili
Kitendo cha hao watu kuingilia kesi ya kabendera ndo wamezidi kumharibia jamaa..yaan ndo wameharibu kabisa
watamsotesha hadi awe mpole mwenyewe.
Amini nawaambia.
Hujamjua mzungu wewe. Kuna kona utajaa tu its matter of time
 
Acha kutokwa povu kwa usilolijua,kwa taarifa tu,katakatisha mara nyingi tu pesa za gazeti la economist na blombeger
So kampuni haijaliona hilo???? Hivi mwandishi atakatishe fedha za kampuni alafu manager yupo tu??? Au kampuni ya Economist ina mwandishi mmoja??? Hela za kampuni zimerakatishwa serikali kinawahusu nini mamaee???? Mbona kampuni haijamshtaki?? Kalalee mbele huko
 
Mbona wazungu hawa hawa wamempa kesi kibao bwana assange wa wikileaks? Kuanzia sweden, UK hadi US wenyewe
Vipi kuhusu snowden?
Kashoggi je,, si alichinjwa..tena ubalozini kabisa. Pamoja na kuwa na us citizenship.
Hujamjua mzungu wewe. Kuna kona utajaa tu its matter of time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…