ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,062
- 6,197
Mawasiliano na shetani.
Nasikia katibu wa chadomo alikua anaiba mafuta ,hakutoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia katibu wa chadomo alikua anaiba mafuta ,hakutoka
Duuh wewe uliwezaje kutoka na wenzio yakawapata yaliyowapata?????????Nasikia katibu wa chadomo alikua anaiba mafuta ,hakutoka
Na huyu ni wa kutulizwa kama maji ya mtungini,ili iwe lesson for others
Wewe juha huna la kunifundisha mimi, wana CCM wenye akili kina mzee Kinana ndo mnawapiga Vita, wewe unachojua ni kula, kulala na kwenda chooni tu, zaidi ya hapo huna lolote kichwaniAsie jua maana haambiwi maana bali huachwa na upumbavu wake ,wewe ni pumbavu,
Kazi anayoifanya kabendera ni mwanzo tu ,hana tofauti na hao uliowataja,serikali ilichofanya ni kunuwahi
Duh...na wewe ni msomi wa CCM wanayekuamini eti...hata English tu Hujui, halafu eti umekaa darasani .Did they wrote email direct to the USA government?,or they were deeply concerned? by press released only
English bora ya msomi wa CCM hiyo Did they wrote email direct to the USA government?,or they were deeply concerned? by press released onlyUna uhakika ameonewa?
Hata Max melo mmiliji wa JF ukiandika chochote negative kuhusu yeye uzi unafutwa halafu na ban unapigwa pamoja na yeye kujinadi kama champion wa uhuru wa habari na kujieleza..
yaani kitu una mamlaka nacho afu kikusumbue
Shukrani kwa kuliweka wazi hili jamboUna uhakika ameonewa?
Hata Max melo mmiliji wa JF ukiandika chochote negative kuhusu yeye uzi unafutwa halafu na ban unapigwa pamoja na yeye kujinadi kama champion wa uhuru wa habari na kujieleza..
yaani kitu una mamlaka nacho afu kikusumbue
Hujui na hutajua dunia inavyoendeshwa,,karirishwa haki za binadamu na wavunjaji vinara wa haki dunianiKiujumla tatizo letu watanzania ni uelewa/ufahamu mdogo wa masuala mengi.
Mtu akitokea akanunua smartphone anajitokeza kuelezea watu kiasi cha uelewa wake mdogo alichonacho.
Kwa taarifa tu, mataifa makubwa wanatujua vilivyo: kiuchumi, kijamii, na kisiasa. Wakisema jambo wanakuwa na data; hawakurupuki.
Mkiguswa kwenye masuala ya haki za binadamu mnalalama. Tanzania tumetia saini Makubaliano ya Haki za Binadamu. Leo mnaukana.
Si mara ya kwanza kuwabambikia watu kesi
English bora ya msomi wa CCM hiyo Did they wrote email direct to the USA government?,or they were deeply concerned? by press released only
English bora ya msomi wa CCM hiyo Did they wrote email direct to the USA government?,or they were deeply concerned? by press released only
Ningependa sana kuamini ulichoandika ila nimeingiwa na mashaka kwa sababu to tell by the face of it sioni ninachoweza kujifunza kutokana na maoni yako.Hujui na hutajua dunia inavyoendeshwa,,karirishwa haki za binadamu na wavunjaji vinara wa haki duniani
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali ,ni waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.
CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.
Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.
Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kisha fikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka yanayomkabili
Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.
Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.
Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola yetu haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Mikataba mnawekewa nyie mafukara,ningekua kiongozi mkuu ningepuuza tuKama unataka nchi ijiamulie inavyotaka fanya harakati ya kujitoa kwenye mikataba ya haki za binadamu ili mtukaange mnavyotaka
Hebi yaweke wazi hayo maovu aliyoyafanya tuyadadavue otherwise utakua shetani tuMaovu aliyoyafanya Erick Kabendera kwa hili taifa hakutakiwa kuwepo duniani kwa sasa
Hujamjua mzungu wewe. Kuna kona utajaa tu its matter of timeNajua wengi hamtaamini hili
Kitendo cha hao watu kuingilia kesi ya kabendera ndo wamezidi kumharibia jamaa..yaan ndo wameharibu kabisa
watamsotesha hadi awe mpole mwenyewe.
Amini nawaambia.
Mkuu keshaanza kuwa mwanga mbonaUnakila Dalili ya kuwa Mwanga huko mbeleni
So kampuni haijaliona hilo???? Hivi mwandishi atakatishe fedha za kampuni alafu manager yupo tu??? Au kampuni ya Economist ina mwandishi mmoja??? Hela za kampuni zimerakatishwa serikali kinawahusu nini mamaee???? Mbona kampuni haijamshtaki?? Kalalee mbele hukoAcha kutokwa povu kwa usilolijua,kwa taarifa tu,katakatisha mara nyingi tu pesa za gazeti la economist na blombeger
Hujamjua mzungu wewe. Kuna kona utajaa tu its matter of time