Serikali mkimuachia Erick Kabendera kwa shinikizo la walio nyuma yake, nitaidharau maisha yangu yote. Onyesheni msimamo thabiti

Mbona wazungu hawa hawa wamempa kesi kibao bwana assange wa wikileaks? Kuanzia sweden, UK hadi US wenyewe
Vipi kuhusu snowden?
Kashoggi je,, si alichinjwa..tena ubalozini kabisa. Pamoja na kuwa na us citizenship.
Waambie wajue double standard iliopo duniani ,
 
Mumbwaa wewe... Yule mwandishi wa habari anatakatisha fedha gani??? Unadhani kutakatisha pesa ni upumbavu eti...kwamba hata kapuku kama wewe unaweza takatisha fedh..
Mubwa Ni wewe na ukoo wako.... Nazani hapo tumemalizana. Sasa turudi kwenye mada yetu. Kutakatisha fedha hata mtu wakawaida anaweza fanya hivyo. Kitendo chakutumiwa pesa kwanjia za panya kutoka nje na isilipiwe Kodi huo ni utakatishaji pesa. Umeelewa dada?
 
Mubwa Ni wewe na ukoo wako.... Nazani hapo tumemalizana. Sasa turudi kwenye mada yetu. Kutakatisha fedha hata mtu wakawaida anaweza fanya hivyo. Kitendo chakutumiwa pesa kwanjia za panya kutoka nje na isilipiwe Kodi huo ni utakatishaji pesa. Umeelewa dada?
Kwendaaa...! Na wewe tumiwa kamil 2 kwa njia za panya buku ukamatwe umetakatisha fedha kafe mbele huko
 
Kama unataka nchi ijiamulie inavyotaka fanya harakati ya kujitoa kwenye mikataba ya haki za binadamu ili mtukaange mnavyotaka
Maendeleo yanaendana na ustarabu. Ushenzi ni kinyume cha ustarabu. Yote haya yanaakiwa na matendo ya jamii husika.

Mfalme Bokasa wa Afrika ya Kati (Central Africa) aliwafanyia ukatili mkubwa binadamu wenzake kwa kuwala katika karne ya ishirini. Watu kupotea na kuuliwa ni mambo yanafanyiwa na Waafrika na Waafrika. Wenzetu kama mtuhumiwa yuko mahabusu hapitii mateso kama watuhumiwa wa nchi zetu.

Mkiambiwa Barani Afrika kuna watezi na mateso mnajifanya "wazalendo". Huo ndio uzalendo kweli.
 
Back
Top Bottom