Serikali mkimuachia Erick Kabendera kwa shinikizo la walio nyuma yake, nitaidharau maisha yangu yote. Onyesheni msimamo thabiti

Maovu aliyoyafanya Erick Kabendera kwa hili taifa hakutakiwa kuwepo duniani kwa sasa

Kweli hayo maneno yanatoka kinywani mwako? Nitamuomba Mungu wangu aguse familia yako ili ujue uchungu wa kifo.

Lakini pia mafisadi Papa mbona bado wapo duniani, mnaogopa Nini kuwapeleka mahakamani au kuwaua Kama unavyotaka?

Fikiria kabla ya kusema. Mungu akusamahe kwa yote. Pumzike yetu twaipata kwake Nate ndio mwenye amri juu ya maisha yetu.
 
huyo jamaa ni mwiba kwa mstakabali wa taifa ahifadhiwe tu sehemu salama kulinda maslahi mapana ya nchi.

kama kuna mpuuzi yeyote anadhani ni uonevu anafanyiwa nayeye anaweza endeleza harakati za jamaa kutoa habari za serikali kwa mashirika ya habari ya nje.
 
Naungana na mtoa hoja,Tanzania ni nchi huru,haipaswi kuingikiliwa na mabeberu kwa maslahi yao,Kabendera akiachiwa wataibuka wakina kabendera mia moja,na watavuruga mipango ya serikali yote kwana watajua kuna walio nyuma yao watawatetea na serikali itaogopa itawaachiwa,ashikiliwe hivohivo na wala asipelekwe mahakamani leo wala kesho,ili wanaotarajia kuwa wakina kabendera wasifanye kama kabendera original
alikuwepo idd amin alikula hadi nyama za watu na akafurumshwa.endeleeni kumvimbisha kichwa huyo jiwe wenu anayejiona kama mungu mdogo na bashite wake
 
Vibaraka wapo ndani ya serikali na chama chao chakavu alafu kuna taratibu za kukamata wahalifu tukizojiwekea kama taifa ndugu sasa puppet ndio anakamatwa kwa kosa tofauti la alilofunguliwa mashtaka?
Kisha kamatwa na kasomewa mashitaka,ni jukumu lenu kumsafisha na kumtetea kupitia sheria na taratibu za nchi,acheni porojo
 
Hayo maovu aliyoyafanya Kabendela is it a treason? kwa nini mashitaka yake yalibadilishwa na yale aliyokamatiwa na kuhojiwa?.Yapo mambo mengine ni simple kuya solve lakini tunayapa umuhimu mukubwa ,huyu kijana munaweza kumuonya, akajirudi.Visasi na kukomoana havina rutuba kwa taifa letu
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahamakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kesha fikishwa mahakamani

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Mungu wabariki CPJ
 
Wakiwanyima ARV waume zako wote watakufa ndani ya Siku moja

Wewe Ni Mbweha,huna Uzalendo wowote
 
Elimu Elimu Elimu bado inahitajika kwa sasa na tupunguze hata kama hatuna elimu ushabiki na hizo konjera za vita za uchumi kwa Tanzania
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahamakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kesha fikishwa mahakamani

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji

Nimecheka hapo uliposema dunia ina double standard, si kila siku huwa tunasema sheria za nchi hii zina double standard mnashangilia uonevu dhidi ya wengine. Umoja mnautaka kwa kina nani wakati kila uchaguzi mnafanya unyama wa wazi dhidi ya wapinzani na mnaona ni sawa tu. Muachieni Kabendera haraka maana hamtendi haki na hizo mahakamani mmeshazinajisi haziaminiki tena.

Sasa hivi ndio mtajua ubaya wa kunajisi sheria za nchi ili kukidhi tabia binafsi za viongozi. Hakuna mtu ana umoja na nyie mumiani labda wasiojua lolote au nyie mnaofaidiki na huu uhayawani.
 
Nimewasikia CPJ wameiandikia barua serikali waraka wa kijinga sana kutaka Kabendera aachiwe.
Sijawasikia wakiiandikia British, au Amerika dhidi ya Assange na Snowden kinachoendelea dhidi yao.

CPJ inatumika vibaya sana waziwazi,na walioko nyuma ya CPJ wanajulikana. wanajaribu kulinda maslahi yao kwa kivuli cha haki za waandishi wa habari,kifupi ni mapambano ya vita vya kiuchumi.

Tunataratibu na sheria zetu, pia namna ya kushughulikia makosa ya aina zote kwa mujibu wa sheria za nchi kwa mujibu wa katiba.
Hatuwezi kama nchi kupangiwa namna ya kuandaa mashitaka na kushitaki.
Mahamakama zipo na washitakiwa watakua watuhumiwa (innocent) mpaka hapo mahakama itakapomtia hatiani muhusika.

Kabendera kashitakiwa, makosa yake hayana dhamana ndio sheria inavyosema, na hajawekwa kizuizini, kesha fikishwa mahakamani

Ifike mahala nchi ijisimamie kama taifa huru, wanachotaka kukifanya na wafanye tuwajue dhumuni na rangi yao halisi.

Dunia imejaa double standard sana,umoja wetu na misimamo thabiti ndio itakayo tuvusha,
Lengo lao ni kuona nchi haipigi hatua ya kimaendeleo, wanapenda kuona tukiwategemea wao na kuwapigia magoti, hii ndio furaha yao.

Serikali na sisi wananchi wazalendo tusimame kwa nguvu zote kuhakikisha dola haiingiliwi hovyo na wahuni kwa kigezo cha demokrasia na uhuru wakujieleza ,lazima mipaka iwepo inapoonekana kuna upotoshaji
Kweli njaa inakusumbua kijana, au ni kutafuta cheo cha mkuu wa wilaya
 
Sasa hapo unachotetea ni nini? Uonezi?
Sasa ni n

Sasa si ndo kosa limepatikana, walitafuta mengine yakagoma, likapatikana malipo bila kodi na malipo toka nje kwa kificho, saa wafanyeje? Hata wakimuachia leo kesho atakamatwa kwa hayo malipo maana bado ni kosa atajicherewesha tu.
 
Haijarishi,kesha fikishwa mahakamani kwa makosa tajwa,ni jukumu lake kukanusha na kuyashinda

Sasa unasema haijalishi inaonyesha hakuna mashtaka ya kweli bali uonevu. Sasa kama mnabambikiza kesi huoni pia mmeshapanga mpaka hukumu? Hivi mnadhani watu hawafahamu kwamba mna nia ovu kwenye hayo maamuzi yenu?
 
Back
Top Bottom