Serikali: Madalali kupewa vitambulisho maalumu kwa Ada ya tsh 20,000. Dalali atalipwa na mwenye nyumba tu siyo Mpangaji

Ndio, ila yasiwe masharti magumu sana, wanaweza kupewa nafasi kupata ofisi, kujipanga, kujiendeleza miaka miwili. Sera zetu zote ziwe endelevu.
Yep,ni muhimu sana masharti yawe rahisi ili kutengeneza kazi nyingi iwezekanavyo, nafikiri basic training kama ya kupata driving licence inaweza kusaidia na kupata vijana wengi na kuzuia utapeli kwenye sekta
 
Sera za Taifa zilenge kuwasaidia hawa vijana, madalali. Ila lazima kuwe na sera sera za mpito wapewe leseni ya mwaka mmoja, miwili hadi wawe sawa. Walipe kodi hata kama ni elfu kumi ,wa kila dili kuanzia.

Huwezi kuchukua milioni moja kwa mpangaji, millioni moja kwa mwenye nyumba, pesa za kumtelembeza mpangaji halafu usilipe kodi.

Not fair, haijakaa sawa kwa wapangaji, wapangishaji, serikali, wananchi wengine.
 
Hii ni nzuri otherwise wenye nyumba waingie front wenyewe just in-case wanauhitaji wa kupangisha nyumba zao.
 
Wenye nyumba mnajionaga wafalme sana kmmmk walai! Kama dalali muhuni kaeni na nyumba zenu walale popo humo!
Wewe unafikri dalali hasipokuwepo nyumba hazitapangishwa? Nawe kajenge ya kwako shenzwi typee. Dalali Ni wizi tu Hakuna namna nyingine ya kuremba Ni haramu kuuharalisha hebu tufikirie Mara mbilimbili. Hata sidhani Kama hii kitu itafanya kazi, unaweza ikawaeliminate automatically, let's wait Ana see
 
Sisemi kuwa hazitapangishwa ila nyumba zitakaa mda mrefu bila wapangaji!
 
Sisemi kuwa hazitapangishwa ila nyumba zitakaa mda mrefu bila wapangaji!
Kwa dunia hii ya kidigitali Hilo sahau. Binafsi nishaachaga kutumiwa Hawa wezi kitambo Sana. Technologia imekuwa brother, haya mambo ya ujanja janja yanaenda mwisho, believe me. Udalali siyo shughuri halali.
 
Binafsi wala sioni taabu kumlipa dalali kama ingekuwa ni percent ya kodi ya mwezi! Kwa mfano, asilimia 20%, maximum Sh X, kwa mfano, Maximum Sh 100K! Hapa kama kodi ni 100K, najua dalali nampa 20K, na kama kodi ni 500K, dalali yake 100K, na kama kodi ni 2M, najua 20% ni 400K lakini namlipa 100K kwa sababu ndiyo maximum! Lakini kusema Dalali unamlipa kodi ya mwezi mzima, huu ni wizi wa mchana kweupe!!
 
Sisemi kuwa hazitapangishwa ila nyumba zitakaa mda mrefu bila wapangaji!
Hamna mzee, zitapangishwa vizuri tu kwa "word of mouth"! Zitapingishwa vizuri tu kupitia matangazo ya kweney mistimu ya umeme! Zitapangishika vizuri tu kupitia vibao mbele ya nyumba! Zitapangishika vizuri tu kupitia social networks! Of course, mambo hyatakuwa smooth sana kwa wapangaji lakini with timu, kutapatikana tu solution mzuri!
 
You are right 100%
 
Itakuwa poa sana. Wamalizane wenyewe ndio biashara kote inavofanyika hivo.
Anayeuza ndio analipa na brokerage fee na sio mnunuzi. Mkishapatana bei basi imetoka hiyo watajuana na mwenye mali.
Wewe mpangaji utalipa tu upende usipende unless hutumii huduma ya dalali.
 
Waziri Lukuvi amesema kuanzia sasa Madalali wa nyumba na viwanja watapewa vitambulisho maalumu kwa ada ya tsh 20,000 kila mwaka na watasajiliwa na halmashauri za wilaya

Lukuvi amesema dalali atalipwa na mwenye nyumba tu na siyo mpangaji kama inavyofanyika sasa ambapo mwenye nyumba na mpangaji huwalipa madalali.

Source: ITV habari
KWamba dalali ni machinga au? Hii pesa ndogo Sana afu badala ya wakate leseni nyie mnakuja na hivyo vopesa,nonsense..

Niliyegemea hao madalali wakate leseni Kati ya 100,000-200,000 kwa mwaka,,pili wakadiliwe na Kodi kwa sababu Kazi zao mara nyingi TRA hawawafikii ukiacha waliosajiliwa kama kampuni.
 
Haya yote yamesababishwa na Serikali zilizokuwepo kwa kutowekeza kwenye ujenzi wa nyumba za kutosha kupitia Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
Bure syndrome at work.

Unataka kila kitu ufanyiwe na serikali! Sekta binafsi ndio jukumu lake , wewe tafuta pesa kwa kufanya shughuli halali kisha based on your income, unapanga nyumba , au unajenga yako nwenyewe. Sio kazi ya serikali kuwapatia makazi watu.
 
Mwenye nyumba amlipe dalali kweli?

Wenye nyumba uswazi walivyo watata dalali anaanzia wapi kulipwa
Kama ni dalali ndio aliyekutafutia na kukuletea mpangaji ni vipi usimlipe ? ! Sheria ikishatungwa hakuna tena utata wala mtata !!
 
Bure syndrome at work.

Unataka kila kitu ufanyiwe na serikali! Sekta binafsi ndio jukumu lake , wewe tafuta pesa kwa kufanya shughuli halali kisha based on your income, unapanga nyumba , au unajenga yako nwenyewe. Sio kazi ya serikali kuwapatia makazi watu.
Kitongalysis 😂
 
Back
Top Bottom