kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,065
- 8,126
Madalali mjiandae kisaikolojia maana panga linakuja.Wewe mpangaji utalipa tu upende usipende unless hutumii huduma ya dalali.
Madalali mjiandae kisaikolojia maana panga linakuja.Wewe mpangaji utalipa tu upende usipende unless hutumii huduma ya dalali.
Pole sana kwa kuangukiwa na kitu kizitoNimetoka kupigwa kodi ya mwez mzima na dalali
Mkuu unadhani suluhisho ni nini sasa?Dalali atanwambia mpangaji gharama za nyuma pamoja na pesa yake ya udalali mwenyenyumba atapokea pesa kutoka kwa mpangaji pamoja gharama za udalali kisha atatoa pesa ya Dalali kwenye hesabu tofauti ya kabla na mwanzo ikowapi?
Lakini ndivyo inavyostahili kuwa.Mwenye nyumba amlipe dalali kweli?
Wenye nyumba uswazi walivyo watata dalali anaanzia wapi kulipwa
Hapo wenye nyumba watatafuta wapangaji wenyewe .
Dalali atakufa na njaa
Madalali mna hasira sana!Bure syndrome at work.
Unataka kila kitu ufanyiwe na serikali! Sekta binafsi ndio jukumu lake , wewe tafuta pesa kwa kufanya shughuli halali kisha based on your income, unapanga nyumba , au unajenga yako nwenyewe. Sio kazi ya serikali kuwapatia makazi watu.
Kama hutopenda kumlipa dalali ujira wake basi tafuta mpangaji wewe mwenyewe mwenye nyumba, njia zipo nyingi za kutangaza, kama hupendi usumbufu mpe kazi dalali , Simple as that !!Binafsi nadhani hivi ndivyo inatakiwa kuwa. Hiyo ni biashara yao na biashara ni matangazo! Kuna namna nyingi sana katika zama hizi za utandawazi kuweka biashara yako ikaonekana kwa watu wengi..... Wakakutafuta wewe mwenyewe mkafanya hiyo biashara bila hata ya uhitaji wa mtu wa kati (Huyo Dalali)
Mimi sio dalali ila huwa niko objectively katika jambo lolote situmii ushabik.Madalali mna hasira sana!
Kama umeamua biashara yako ni kupangisha nyumba ni bora wewe mwenyewe ndio uwe dalali,wenye nyumba acheni mara moja huu utaratibu wa kutumia watu wengine kuwapangishiaMadalali kupewa vitambulisho maalumu na watalipa Tsh 20,000 .?Je mwenye Nyumba ataruhusiwa kulipia Ada na kuwa dalali kwa ajili ya Nyumba yake?
Na je kwenye hili"definition" ya dalali imefikiwa?dalali si hulipwa na aliyemwajiri ?.mwenye nyumba akihitaji dalali bila shaka atalipa yeye(landlord).mpangaji akihitaji nyumba kwa vyovyote atamlipa dalali,benki akihitaji dalali watalipa wao.wale masokoni,vituo vya mabasi ,.mashambani,bandarini ,ukutaratibu wao utakujwa je?,Kila shughuli nchi hii Ina dalaliMadalali kupewa vitambulisho maalumu na watalipa Tsh 20,000 .?Je mwenye Nyumba ataruhusiwa kulipia Ada na kuwa dalali kwa ajili ya Nyumba yake?
Kwani wao wanafanya udalali kwa sheria ipi?Ni jambo jema kabisa.Lakini bila kuwa na sheria, dalali au mwenye nyumba ataepuuza agizo au amri hii atashiughulikiwa vipi?
Haya ndio yale ya kutanguliza mkokoteni mbele kisha ng'ombe/punda ndio anafuata.
Mwenyenyumba anamlipa Dalali pesa kutoka wapi ni yaleyale tena gharama zitaongezeka
Na je kwenye hili"definition" ya dalali imefikiwa?dalali si hulipwa na aliyemwajiri ?.mwenye nyumba akihitaji dalali bila shaka atalipa yeye(landlord).mpangaji akihitaji nyumba kwa vyovyote atamlipa dalali,benki akihitaji dalali watalipa wao.wale masokoni,vituo vya mabasi ,.mashambani,bandarini ,ukutaratibu wao utakujwa je?,Kila shughuli nchi hii Ina dalali
upo sahihi ila soma hiyo habar tena kama umeelewaDalali ni mtu wa kati. (Middleman). Wapo kwenye mazao, mashamba, nyumba, vyumba, viwanja, biashara zote, ajira zote Media zote, kila sehemu.
Mkuu jamaa hawezi kukuelewa ni wa kizazi cha gizaAttributes zinakuwaje nyingi kama utazi class?
-Size (single room, single-self room, self room+ Lounge,self room +lounge+ Kitchen, self room+extra room+lounge+kitchen)
-Amenities(Alluminium profile, Parking, Electricity,Water,Fence, Perving,None)
-Price range (30K, 50K, 80K, 100K,130K,150K,180K,200K,250K, 300K, 350K n.k)
-Region(Kinondoni, Ilala,Temeke)
-Residence (Tabata, Segerea,Magomeni,Masaki,Mbezi Beach,Kawe,Sinza,Kimara,Goba, Salasala,Mbweni,Bunju,Mwananyala, Makumbusho,Tandale,Mbagala,Tandika, Mtongani,Kijichi)
Duration: (1 months, 3 months, 6 months, 12 months)
Hapo bado tu hujapata picha tu?
Uki press button ya search inakuletea nyumba ambazo ziko “Available” hizi ambazo unaweza kulipia kwa list toka kwenye eneo ulilochagua.
“Taken” ambazo zimeshalipiwa.
“Pending/Due” ambazo wenyewe wameshatoa taarifa kwamba wanaplan kuachia one month ahead!
How it works, wenye nyumba watakuwa na section yao kwenye huu mfumo. Wata feed hizo taarifa na picha clear za nyumba zao na wataweka na contacts zao.
Revenue model:
Subscription, mwenye nyumba atalazimika ku subscribe kwenye mfumo kila mwaka subscription fees kwa mwanzo itakuwa free ila wakizoea tutaweka tozo.
Adverts:
Mwenye nyumba atachangia 3% toka katika pesa ya kila nyumba ambayo atapangisha kupitia mfumo huu. Hii inakuwa sasa ndio gharama za udalali ambazo atatulipa wenye kampuni yetu na app.
Big idea, kila siku nalifikiria hili swala ni sijapata wasaa tu wa kulifanyia kazi...Attributes zinakuwaje nyingi kama utazi class?
-Size (single room, single-self room, self room+ Lounge,self room +lounge+ Kitchen, self room+extra room+lounge+kitchen)
-Amenities(Alluminium profile, Parking, Electricity,Water,Fence, Perving,None)
-Price range (30K, 50K, 80K, 100K,130K,150K,180K,200K,250K, 300K, 350K n.k)
-Region(Kinondoni, Ilala,Temeke)
-Residence (Tabata, Segerea,Magomeni,Masaki,Mbezi Beach,Kawe,Sinza,Kimara,Goba, Salasala,Mbweni,Bunju,Mwananyala, Makumbusho,Tandale,Mbagala,Tandika, Mtongani,Kijichi)
Duration: (1 months, 3 months, 6 months, 12 months)
Hapo bado tu hujapata picha tu?
Uki press button ya search inakuletea nyumba ambazo ziko “Available” hizi ambazo unaweza kulipia kwa list toka kwenye eneo ulilochagua.
“Taken” ambazo zimeshalipiwa.
“Pending/Due” ambazo wenyewe wameshatoa taarifa kwamba wanaplan kuachia one month ahead!
How it works, wenye nyumba watakuwa na section yao kwenye huu mfumo. Wata feed hizo taarifa na picha clear za nyumba zao na wataweka na contacts zao.
Revenue model:
Subscription, mwenye nyumba atalazimika ku subscribe kwenye mfumo kila mwaka subscription fees kwa mwanzo itakuwa free ila wakizoea tutaweka tozo.
Adverts:
Mwenye nyumba atachangia 3% toka katika pesa ya kila nyumba ambayo atapangisha kupitia mfumo huu. Hii inakuwa sasa ndio gharama za udalali ambazo atatulipa wenye kampuni yetu na app.
Hahahahahah anaona miujiza😅Mkuu jamaa hawezi kukuelewa ni wa kizazi cha giza
Mkuu kama upo sawa tulifanyie hili kaziBig idea, kila siku nalifikiria hili swala ni sijapata wasaa tu wa kulifanyia kazi...