Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,599
- 49,520
Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis.
Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu.
Kwakweli Mungu ni mwema.
Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu. Sijui taingiziwa lini mshahara.
Lakini Mungu 🤣🤣🤣🤣 amedouble pesa kwenye biashara zangu.
Kweli Mungu yupo na wanyonge 😂😂😂😂😂.
Kwa moyo wa uzalendo niko tayari nifanye kazi bila mshahara na posho.
KAZI NI IBADA
Fix error wakulipe. Acha janja janjaSerikali kwa tafsiri isiyo rasmi ni viongozi wenye mamlaka ya kutoa maagizo kwa ngazi ya kitaifa.
Kazi tumefanya, issue ya error ndogo ndogo kwenye mfumo isiwe sababu ya kutunyima pesa.
Kuna watumishi wawili kazini nawajua hawajajisajiri kabisa kwenye huo mfumo lakini mshahara wamepata.
Mimi nimejissjili ila duties sijajaza. Sijalipwa mshahara.
Serikali tulipeni kabla hatujaharibu kazi.
Ni hilo tu, mukitaka lipeni , musipotaka kaeni na hizo pesa sisi tutajua tunafanyeje.
Am not a teacher.Walimu mna mikwara sana!
Thanks brother from another fatherPole Sana.
KabisaKuajiriwa ni utumwa
Kwahiyo nikiwaburuza court naweza kupata sh ngapi?Watanzania wengi hamjui sheria na ndio maana kila siku mnaonewa hakuna kipengele chochote kinachosema mtumishi akishindwa kujaza pepmis akatwe mshahara yaani hapo ilikuwa wakulipe fidia.