Kwani ni kuijua CCM au uhalali wa process nzima na rasimu yenyewe, Jaji warioba ana amini rasimu aliyoiandika yeye ndio ilitakiwa kuwa katiba sasa sijui bunge la katiba lilikuwa na shughuli gani.
Sijabishia kutoa elimu lakini wasitunge uongo na upotoshaji hiyo inakuwa sio elimu bali misleading.
Mbona dataz zinasema uchumi unakua.
unajichanganya sana, sidhani kama kuna mtu anataka kurudhisha zama ya kutoa maoni, what Warioba is doing ni kuelezea nini kilifanyika, what was the outcome na kitu gani kimepindishwa ili kuuchanganya ummaIkipata baraka za kura ya maoni ndio katiba yenyewe anyway does it matter, kwani kuna anaekataa kutoa elimu kuhusu hiyo rasimu ya katiba iliyopo. Tatizo ni longo longo za kutaka kurudisha hadithi za kutoa maoni na kuzungumzia maoni kishabiki na kwa upendeleo as if the whole thing is not legit or the process was undemocratic huo ni upotoshaji kabisa.
Wewe ndio unajua kila kitu; hivi kwanini tena rasimu aifai? Ooh yeah kwa sababu Mbowe kasema si ndio au?
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.
Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
mbona dataz zinasema uchumi unakua.
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"
Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.
Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"
Wageni wote karibuni Tanzania.
Mbona dataz zinasema uchumi unakua.
Let me guess CCM iliwafungia milango wajumbe wa UKAWA wasishiriki si UKAWA wenyewe wamekubali akili ndogo iongoze akili kubwa na kuchukua maamuzi ya kipuuzi kususia bunge sasa wanalia nini.
Wawache wananchi waamue kama katiba mpya aiwafai; lakini habari za tume ya rasimu ilishakwisha loongi na muda wa kutoa maoni pia.
Upotoshaji upi wanaofanya akina Warioba kusema kwamba BMK limeondoa mambo.ya.uaDILIFU ndo kupotosha,,,,!hivi hamjiulizi watu wote wanaotumia ubongo kufikiri badala ya uTUMBO km nyinyi wanabeza hiyo ILANI yenu ya uchaguzi hamjishangai??
MAMBO YA UADLIFU siyo lazima anayoyataka WARYOBA.