Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Wasome nyakati. Mfano ni Burkina Faso

Hujitambui suala la bukina ni kujiongezea mda wa uongozi kwani hapa tanzania umewahi kusikia nani amekalia madarakani baada ya mda wake wa uongozi kuisha kama Rais?
 
Walioshiriki kwenye mdahalo wa tarehe 02, November siyo tume ya katiba. Mdahalo uliandaliwa na Taasisi ya Nyerere na kuwakaribisha Watanzania waliofanya kazi kwenye tume ya katiba. Warioba na wenzake hawajashiriki kwenye mdahalo kama tume bali kama Watanzania wenye uzoefu wa kazi hiyo na wenye uwezo kuchambua na kulinganisha rasimu ya katiba mpya na katiba inayopendekezwa. Tatizo liko wapi Watanzania? Je, Tanzania imekuwa nchi ya hovyo kiasi hiki? Yaani sasa kuna watu hawana haki ya kusema na kusikilizwa? Hawa wasiotaka Warioba azungumze wanaogopa nini? Wanaohofia midahalo hii hawaitakii mema nchi hii bali wanahofia maslahi yao yaliyofichwa ndani ya hicho kinachoitwa katiba inayopendekezwa.
 
Mkuu huyu anaangalia maigizo ya kilimo kwanza kwenye TV au mabanda ya nane nane hajui hali halisi kule ketumbaine, nakapanya, nanguruwe, nadururu na kwingineko ambako hali za wakulima zinatisha mno

Unawezekana ni kati ya wale wafidikao na hawa watawala wasanii.Ambao leo wanaona nibora zile pesa ilizokwapuliwa na akina Chenge ziwekwe kwenye mabank ya nje na Katiba ibariki ushenzi huu.Hwa ndiyo wanaofaa kuchapwa viboko kila siku.
 
Walioshiriki kwenye mdahalo wa tarehe 02, November siyo tume ya katiba. Mdahalo uliandaliwa na Taasisi ya Nyerere na kuwakaribisha Watanzania waliofanya kazi kwenye tume ya katiba. Warioba na wenzake hawajashiriki kwenye mdahalo kama tume bali kama Watanzania wenye uzoefu wa kazi hiyo na wenye uwezo kuchambua na kulinganisha rasimu ya katiba mpya na katiba inayopendekezwa. Tatizo liko wapi Watanzania? Je, Tanzania imekuwa nchi ya hovyo kiasi hiki? Yaani sasa kuna watu hawana haki ya kusema na kusikilizwa? Hawa wasiotaka Warioba azungumze wanaogopa nini? Wanaohofia midahalo hii hawaitakii mema nchi hii bali wanahofia maslahi yao yaliyofichwa ndani ya hicho kinachoitwa katiba inayopendekezwa.

Kwani wanaficha nini ambacho watanzania hatutakiwi kujua?Labda MwanaCCM mmoja anaweza kutueleza wanachokificha.!
 
We pusi kwelikweli.Ni mara ngapi Kikwete amenukuliwa akiwataka wananchi kuja kupiga kura ya ndio?
Au huyo naye ni UKAWA?

Hapa sio sehemu ya kukatia mauno wewe mbulula

wewe shoga kwanini na nyie ccm msiandae mdahalo wenu ili mseme mzuri ya katiba yenu!

Makalio wewe

You are senior ASSHOLE bro

!
!
mbwetoka huko, mfyuuuuuuuuuuuu

This is a violation of my rights to air my opinion bila ya kutukanwa halafu sielewi kabisa unapotoa matusi unajua utajibiwa na tusi. Hila sitokwenda huko age aini ruhusu naona kuna watu wanapenda kutukanwa Happy Feet wont indulge with nonsense.
 
kwani wewe hujui kuwa kuna kura ya ndiyo na hapana na kunapotolewa elimu ni lazima wale wa hapana waseme mabaya ya ndiyi
Kwani nani aliesema tatizo ni kukosoa; tatizo ni upotoshaji vitu vilivyofutwa ni kwa sababu vilikuwa avijengi taifa kama tume ilivyoagizwa na vingine vilikuwa aviko practical or undemocratic.
 
Hebu nikuulize ndugu hivi huu Muungano wetu ni Sampuli ya wapi,,,!
Sometimes its good to be original si kila kitu kukopi tu; if you must know muungano wetu unafanana na wa UK.

Upotoshaji upi wanaofanya akina Warioba kusema kwamba BMK limeondoa mambo.ya.uaDILIFU ndo kupotosha,,,,!hivi hamjiulizi watu wote wanaotumia ubongo kufikiri badala ya uTUMBO km nyinyi wanabeza hiyo ILANI yenu ya uchaguzi hamjishangai??
Maswala ambayo ambayo yana zuia haki za viongozi na kufanya watu wategemee siasa tu kama source zao za mapato au wa risk mali zao kuwa kwenye mikono ya watu wengine in short hayakuzingatia uhalisia wa mambo.
 
kesho utaambiwa serikali inampango wa kusitisha mitandao ya kijamiii kisa katiba mpaka maoni yatakapotoka mei

mbaya zaidi tukiwaachia hawa ccm waendelee iko siku utaambiwa serikali/mwigulu atakuja kumchukua mkeo akalale nae kama alivyofanya igunga etc
 
Mbona haujawataja Kinana na Nape? kwani nao tumewaona na kuwasikia wakiongelea hili Likatiba lao au kwa akili zako na kwa ushabiki ulionao kwa maCCM unaona Kinana na Nepi wanachofanya ni sahihi.
Hamna aliezuia kutoa somo la katiba lakini bila ya upotoshaji au kuleta hadithi za rasimu ya warioba hilo lilishafanyiwa kazi yake na bunge lililokuwepo kisheria watu wajadili rasimu kwa muktadha wa preambles za kikatiba.
 
unajichanganya sana, sidhani kama kuna mtu anataka kurudhisha zama ya kutoa maoni, what Warioba is doing ni kuelezea nini kilifanyika, what was the outcome na kitu gani kimepindishwa ili kuuchanganya umma

And that is important, kumbuka katiba ya nchi haina chama, sio katiba/vijarida vya vyama ambayo vinaweza kuchezewa chezewa tu

You need some serious education
Jaji Warioba keshajiwekea reputation ukiangalia video ya jana hakuna kibaya alichokisema lakini kwa kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa akipayuka hovyo hata mimi nilitegemea there he goes again kiasi ya mkute.

Phase ya sasa ya kuinadi inahusu maswala ya utekelekezaji na kama haki na misingi ya uendeshwaji wa serikari hiko sahihi mengine ni hisia ambazo hazina uhalisia au hazitekelezeki ndio sababu vilifutwa.

Kukosoa isiwe hadithi za rasimu ya warioba na alichopendekeza kukosoa kuangaliwe kwa misingi ya preambles, government sections, bill of rights and amending. Hizo ndio hoja za sasa sio jaji warioba alisema nini.
 
hivi na wewe unaelimu au hata kusoma hujui! Kasome katiba zote rasimu ya warioba na pendekezwa kifungu kwa kifungu halafu ndio uje hapa maana naona nahisi hata kusoma hujui.
Unajuaje sijasoma zote?
 
Kuna hadithi ya nyani kukosa wenzake msituni pale wanapoamua kumtenga kisa mahindi mabichi anapenda kula yeye tu. Anajiona kuwa bora zaidi kuliko nyani wote msituni.
Habari za misitu na nyani zinahusu vipi tena hapa mkuu.
 
Are you serious?Sina uhakika kama umewahi hata kufika huko vijijini.Pole ni bahati mbaya ukiwa CCM hutakiwi kuwa na mawazo binafsi.
Nimezaliwa na kulelewa kijijini kwa taarifa yako na nilikuwa naenda shule peku kwenye umande.
 
Naona huelewi kile unachokijadili nani kakwambia mjadala ulikuwa wa tume? Taasisi ya Mwalimu Nyerere ndio iliandaa mjadala wa kuuelimisha umma juu ya haki yao ya kuisoma na kuielewa katiba pendekezwa kabla ya kuipigia kura. Hii ni haki ya msingi kwa kila raia kwani katiba itagusa maisha yao ya kila siku kwa miongo kadhaa. Serikali inatakiwa kusambaza nakala za kutosha kwa wananchi ili wajisomee, wajadili katika midahalo mbalimbali ili muda ukifika wafanye maamuzi sahihi sio porojo kwenye mikutano ya hadhara wakati wananchi hawana hiyo katiba pendekezwa
Atleast you are sane.
 
Kwani wanaficha nini ambacho watanzania hatutakiwi kujua?Labda MwanaCCM mmoja anaweza kutueleza wanachokificha.!

Ufisadi,ubinafsi,rushwa na njia zake,wizi. Utamu wa madaraka.

Mh!Sijui tunakoelekea na huyu Prof,wetu wa Kichina.Ni shida moja kwa moja,Nchi imekosa hata kuheshimiana kidogo.
 
Nimezaliwa na kulelewa kijijini kwa taarifa yako na nilikuwa naenda shule peku kwenye umande.

Kwa hiyo ukienda peku na leo umevaa viatu kwa hiyo kilimo kwanza kimewasaidia hao wakulima?Kwa information tu niko kijijini saa hii na maisha ya mtu wa kawaida tu ni magumu,hicho kilimo kwanza labda kimemsaidia mtoto wa mjomba wa watawala wetu.Pole bado haujanibadili msimamo wangu wa utawala huu wa Prof wa kichina.
 
Jaji Warioba keshajiwekea reputation ukiangalia video ya jana hakuna kibaya alichokisema lakini kwa kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa akipayuka hovyo hata mimi nilitegemea there he goes again kiasi ya mkute.

Phase ya sasa ya kuinadi inahusu maswala ya utekelekezaji na kama haki na misingi ya uendeshwaji wa serikari hiko sahihi mengine ni hisia ambazo hazina uhalisia au hazitekelezeki ndio sababu vilifutwa.

Kukosoa isiwe hadithi za rasimu ya warioba na alichopendekeza kukosoa kuangaliwe kwa misingi ya preambles, government sections, bill of rights and amending. Hizo ndio hoja za sasa sio jaji warioba alisema nini.
You are such a sorry a$$

Judge warioba hajawahi kupayuka wala kubadili kauli... his message has always been consistent na kama ni kupayuka wamepayuka sana wabunge wa bunge la katiba hadi kufikia kumdhalilisha Jaji warioba, sadly wote waliokua wakimdhalilisha (including you) hawana hata 10% of what he's got in terms of integrity, maturity, political level na hata ule utu achilia mbali upeo wake

You guys killed Prof Sengodo Mvungi, and thought you are done with your agenda

Just FYI, Jaji warioba has decided to uphold is commitment to serve the country right, and not to serve his party right

Ushauri wa bure happy feet just do a good self reflection

You are such a waste of a good person... you writings are calm but ill informed, si ajabu hata yiho rasimu ya katiba hujaisoma achilia mbali ile ya warioba iliyopelekwa bungeni
 
post ya kijinga kabisa, huwezi kufunga midomo watu kujadili suala linalowahusu wao na vizaizi vijavyo

demokrasi itachukuaje mkondo endapo elimu kwa umma inadhibitiwa wewe kiazi? maybe hata hujui maana ya demokrasia

what a low ass imbecilic post

Huyo jamaa anasema jambo la ajabu sana.

Anatetea demokrasia kwa kuiminya demokrasia, wapi nawapi?

Utakuwa vipi na demokrasia kama hutaki uhuru wa watu kujieleza, kupata habari na elimu ya umma?

Hawa watu wanaotaka habari za kuzibana midomo wanaogopa nini? Wanaogopa kwamba watu wakipata elimu uongo utaonekana wazi?
 
Back
Top Bottom