Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Let me guess CCM iliwafungia milango wajumbe wa UKAWA wasishiriki si UKAWA wenyewe wamekubali akili ndogo iongoze akili kubwa na kuchukua maamuzi ya kipuuzi kususia bunge sasa wanalia nini.

Wawache wananchi waamue kama katiba mpya aiwafai; lakini habari za tume ya rasimu ilishakwisha loongi na muda wa kutoa maoni pia.

!
!
mbwetoka huko, mfyuuuuuuuuuuuu
 
MAMBO YA UADLIFU siyo lazima anayoyataka WARYOBA.

Hebu tuambie uadilifu kwako wee ni nini au Kwenye ile ILANI yenu ni Ibara gani wameandika mambo ya uaDILIFU kwa kiongoz wa UMA wacheni kuwafanya waTANGANYIKA wote niPUNGUANI
 
Si ajabu. Walizuia mikutano na maandamano ya vyama vya siasa lakini CCM wakawa wanazunguka kufanya mikutano ya hadhara
 
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"

Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.

Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"

Wageni wote karibuni Tanzania.

mkuu.hata mimi niliwaza kama wewe jana.juu ya kitendo kile.nyuma yake kuna jambo na ndio hilo mkuu.
 
Wanajua fika hawana nguvu ya hoja hivyo watafanya kila wawezalo ikiwemo kutumia mabavu, uongo, kejeli, kashfa, matusi ili kung'ang'ania madaraka. Warioba alipotukanwa na wahuni wa CCM hatukuona tamko lolote toka CCM au Ikulu kukemea kutukanwa kwa Warioba, jana kadhalilishwa hadi saa hizi hakuna tamko toka kurugenzi ya upotoshaji habari Ikulu au CCM kukemea kudhalilishwa badala yake tumemsikia fisadi na muhuni Sitta akitoa kauli kwamba "Warioba kajitakia mwenyewe" hawa Maintarahamwe wanataka kuongeza vurugu nchini ili tu waendelee kung'ang'ania madaraka.
 
Hii mijadala ni michache sana na hufanyika mara chachechache saaana. Nilifikiri sirikali ningekuwa na strategies za kuhakikisha usalama wa washiriki midahalo. Maandamano NO.... midahalo NO..... what is next
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kupiga marufuku mikusanyiko ya watu kumi na kuendelea bila kibali cha polisiccm (kwa sababu za kiusalama) Serikali dhalimu na za kiharamia ndivyo zilivyo!!! Siku zote hutafuta namna ya kuminya/kuzuia demokrasi kwa kila hali ikiwemo kutumia mabavu.

Hii mijadala ni michache sana na hufanyika mara chachechache saaana. Nilifikiri sirikali ningekuwa na strategies za kuhakikisha usalama wa washiriki midahalo. Maandamano NO.... midahalo NO..... what is next
 
Those are hallmarks of collapsing dictatorship regime! They are unavoidable, People should expect and prepared for it.
 
Ssas kama kweli wamezuiya mijadala ya katiba tutapigia kura nini?
 
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.

Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
Kuna hadithi ya nyani kukosa wenzake msituni pale wanapoamua kumtenga kisa mahindi mabichi anapenda kula yeye tu. Anajiona kuwa bora zaidi kuliko nyani wote msituni.
 
Embu fuatilia impact za kilimo kwanza uone ni jinsi gani wakulima wadogo walivyo nufaika awalili chakula tena sasa wanauliza masoko vijana wajisiriamali ndio wanatengenezwa sio kazi rahisi lakini tutafika na safari imeanza.

Are you serious?Sina uhakika kama umewahi hata kufika huko vijijini.Pole ni bahati mbaya ukiwa CCM hutakiwi kuwa na mawazo binafsi.
 
Ikipata baraka za kura ya maoni ndio katiba yenyewe anyway does it matter, kwani kuna anaekataa kutoa elimu kuhusu hiyo rasimu ya katiba iliyopo. Tatizo ni longo longo za kutaka kurudisha hadithi za kutoa maoni na kuzungumzia maoni kishabiki na kwa upendeleo as if the whole thing is not legit or the process was undemocratic huo ni upotoshaji kabisa.

Dada Happy Feet,bado siye wajinga tunataka na tunapenda kuwasikiliza hao unaosema wapotoshaji.Mbona akina Makonda hakuna mtu anayeingilia midahalo yao?Au kwa CCM sawa ila wapinzani wa hiyo KATIBA hakuna ruksa?
 
kwa huu usenqe-usenqe mimi naona sasa zipigwe tu..
 
Disgusting comment. Mzee Warioba ana uchungu na nchi hii. Wewe na wenzako hamna uchungu. Hata Blaise Compaure alikuwa akijitetea kutumia 'njia za kidemokrasia' kujiongezea muda wa kutawala lakini ikafika siku wananchi wakasema hapana. Mind you, waliosema hapana siyo wa vijijini ambao kwa kawaida hawajui kinachoendelea nchini mwao! Na hiyo demokrasia unayozungumzia ni ipi? Ni ile iliyotumika kupata 2/3 katika Bunge Maluum. Hakika unashangaza kupita maelezo
 
Another bogus si ndio maana ya kuinada au we ushazoea kununua mbuzi wa kwenye magunia sito shangaa kama umeichangia CDM jana.

Kinachozuia na wewe kuwaelimisha wananchi kuhusu katiba mpya nini ili wajue haki zao zimekuwa deprived kivipi. Lakini habari za kusema wananchi walitaka ABC sijui CCM wamefanya hivi na vile ni upotoshaji na uchonganishi kazi ya tume imeisha mjadala sasa ni katiba iliyopo kama wengine awakutaka kushiriki kwa utashi wao kwanini waongope?

Naona huelewi kile unachokijadili nani kakwambia mjadala ulikuwa wa tume? Taasisi ya Mwalimu Nyerere ndio iliandaa mjadala wa kuuelimisha umma juu ya haki yao ya kuisoma na kuielewa katiba pendekezwa kabla ya kuipigia kura. Hii ni haki ya msingi kwa kila raia kwani katiba itagusa maisha yao ya kila siku kwa miongo kadhaa. Serikali inatakiwa kusambaza nakala za kutosha kwa wananchi ili wajisomee, wajadili katika midahalo mbalimbali ili muda ukifika wafanye maamuzi sahihi sio porojo kwenye mikutano ya hadhara wakati wananchi hawana hiyo katiba pendekezwa
 
muwe mnatupa na uthibitisho siyo kuandika maneno mepesi ambayo hana kichwa wala miguu.
 
Are you serious?Sina uhakika kama umewahi hata kufika huko vijijini.Pole ni bahati mbaya ukiwa CCM hutakiwi kuwa na mawazo binafsi.

Mkuu huyu anaangalia maigizo ya kilimo kwanza kwenye TV au mabanda ya nane nane hajui hali halisi kule ketumbaine, nakapanya, nanguruwe, nadururu na kwingineko ambako hali za wakulima zinatisha mno
 
Back
Top Bottom