Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,960
- 11,221
Wewe ndio unajua kila kitu; hivi kwanini tena rasimu aifai? Ooh yeah kwa sababu Mbowe kasema si ndio au?We ni mbulula hujui lolote!pole yako.
Wewe ndio unajua kila kitu; hivi kwanini tena rasimu aifai? Ooh yeah kwa sababu Mbowe kasema si ndio au?We ni mbulula hujui lolote!pole yako.
kweli imbecile ni imbecile tuKwa hivyo akili ni kupotosha kuanzia sheria walizoshiriki kuzitunga UKAWA, utaratibu waliomua kuufuata na baadae kukimbia mchakato wa katiba kwa sababu za kimaslahi binafsi.
Mbona vitu viko wazi baada ya rasimu kutakuwa hakuna midahalo ya kuhusu katiba tena.
Imbecile mwenyewe katiba ikishatungwa na bunge wananchi tena wataamua kwa kuipigia kura. Wakati CCM wanainada kwa wananchi waikubali; kwa nini UKAWA wasiwashawishi kuikataa kwa kuwaeleza maslahi ya wananchi yamenyimwa wapi kikatiba.
Sasa wewe pimbi unaelazimisha agenda za lazima ndio unaona akili? Ni kwanini udhani wengine wanahaki ya kusema yale waliyo yaandika wao ndio sahihi? Vinginevyo funga domo lako maana uwezi kuchanganya na zako.
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.
Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
kwaniniWe ni mbulula hujui lolote!pole yako.
Upotoshaji uko wapi? Elimu ni kuelimishwa kile kilichomo kwenye katiba pendekezwa pamoja ni kile kilichoboreshwa,kilichotolewa. na vyote vilivyomo.Sasa we unachagua vya kuwafundisha?Another bogus si ndio maana ya kuinada au we ushazoea kununua mbuzi wa kwenye magunia sito shangaa kama umeichangia CDM jana.
Kinachozuia na wewe kuwaelimisha wananchi kuhusu katiba mpya nini ili wajue haki zao zimekuwa deprived kivipi. Lakini habari za kusema wananchi walitaka ABC sijui CCM wamefanya hivi na vile ni upotoshaji na uchonganishi kazi ya tume imeisha mjadala sasa ni katiba iliyopo kama wengine awakutaka kushiriki kwa utashi wao kwanini waongope?
Ikipata baraka za kura ya maoni ndio katiba yenyewe anyway does it matter, kwani kuna anaekataa kutoa elimu kuhusu hiyo rasimu ya katiba iliyopo. Tatizo ni longo longo za kutaka kurudisha hadithi za kutoa maoni na kuzungumzia maoni kishabiki na kwa upendeleo as if the whole thing is not legit or the process was undemocratic huo ni upotoshaji kabisa.kweli imbecile ni imbecile tu
ile sio katiba, bali ni rasimu ya katiba...
Pili kabla ya kura huwa ni lazima jamii ielimishwe inapigia kura kitu gani ndio maana kuna campaign, public education and the like
Jipambanue ukue otherwise utaishia kutumika cheaply
Issue ya haki ya wengine kusema siwezi kuiingilia, lakini sio kila kisemwacho ni sheria
Another bogus si ndio maana ya kuinada au we ushazoea kununua mbuzi wa kwenye magunia sito shangaa kama umeichangia CDM jana.
Kinachozuia na wewe kuwaelimisha wananchi kuhusu katiba mpya nini ili wajue haki zao zimekuwa deprived kivipi. Lakini habari za kusema wananchi walitaka ABC sijui CCM wamefanya hivi na vile ni upotoshaji na uchonganishi kazi ya tume imeisha mjadala sasa ni katiba iliyopo kama wengine awakutaka kushiriki kwa utashi wao kwanini waongope?
Kwani ni kuijua CCM au uhalali wa process nzima na rasimu yenyewe, Jaji warioba ana amini rasimu aliyoiandika yeye ndio ilitakiwa kuwa katiba sasa sijui bunge la katiba lilikuwa na shughuli gani.Ndugu yangu unafikiri kwa kutumia kiungo gani,,,!! Wewe na JAJI, WARIOBA nani anaijua CCM vzr acheni uPUMBAVU haki yakuzuia watu kuongea mnaitoa wapi,,,,!
Mbona dataz zinasema uchumi unakua.Kwa akili km hizi ndio maana NCH hii imekwama kwa 50yrs
Kilichotolewa kimetolewa kisheria kwa jinsi sheria ilivyoipa mamlaka bunge la katiba sasa unawafundisha nini wananchi kama si uongo hao UKAWA waliombwa mpaka na watu wa mungu warudi wakakataa sasa tena leo rasimu imekuwa ya CCM.Upotoshaji uko wapi? Elimu ni kuelimishwa kile kilichomo kwenye katiba pendekezwa pamoja ni kile kilichoboreshwa,kilichotolewa. na vyote vilivyomo.Sasa we unachagua vya kuwafundisha?
Utawajua tu wasio rizki watu wanaongelea uhalali wa katiba au kusitishwa kwa mijadala ya katiba we unafikiria mauno na mabwana tena alfajiri; kaazi kweli kweli.Kumbe nawe wajua kuyakata mauno? Au hata humu Jf kuna bwanako?
hivi unafahamu mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyo? Au unajua kubwabwaja tu? Je kama kuna vurugu je njia ni kuzuia mijadala au kupambana na wafanya vurugu?Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.
Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.
Wewe ndio unajua kila kitu; hivi kwanini tena rasimu aifai? Ooh yeah kwa sababu Mbowe kasema si ndio au?
Chanzo cha vurugu itakuwa kama wananchi wataendelea kupotoshwa lakini kama watapewa elimu ya katiba inayopendekewa wapiga kura kwa utashi wao fujo azitotokea. Sumu za wengine ndio threat ya fujo.hivi unafahamu mchakato wa kura za maoni jinsi ulivyo? Au unajua kubwabwaja tu? Je kama kuna vurugu je njia ni kuzuia mijadala au kupambana na wafanya vurugu?
Utawajua tu wasio rizki watu wanaongelea uhalali wa katiba au kusitishwa kwa mijadala ya katiba we unafikiria mauno na mabwana tena alfajiri; kaazi kweli kweli.
Hiyo mijadala siyo kwa ajili ya kutoa maoni ni kwa ajili ya kuelimishwa ili wananchi wafanye informed decisions. Kamwe in life lazima uelimishwe kwanza ndio ufanye maamuzi.Let me guess CCM iliwafungia milango wajumbe wa UKAWA wasishiriki si UKAWA wenyewe wamekubali akili ndogo iongoze akili kubwa na kuchukua maamuzi ya kipuuzi kususia bunge sasa wanalia nini.
Wawache wananchi waamue kama katiba mpya aiwafai; lakini habari za tume ya rasimu ilishakwisha loongi na muda wa kutoa maoni pia.