Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Problem-Reaction-Solution.
Hii ndio mbinu ya kijasusi inayotumiwa na serikali nyingi duniani pale kunapotokea jambo lisilowapendeza kwenye jamii.Watatumia mamluki wao kujipenyeza ndani ya jamii,waligeuze jambo hilo kuwa na sura mbaya,halafu watu wakililalamikia,serikali inachukulia advantage malalamiko hayo kuchukua hatua ambazo ndio hasa ilikuwa lengo,na hatua hizi mara nyingi huwa sheria kali au marufuku.

Ndio maana kwenye legal ethics inasemwa kuwa si hekima kutunga sheria kwa kuendeshwa na matukio ya mwanzo.Leo limetokea hili,mmetunga,kesho lile,mmetunga,no,ni vema kuyahukumu mambo kwa sheria zilizopo au kutunga sheria mpya baada ya kujiridhisha na kiini cha matatizo husika ni kipi.

Na sheria zilizopo hazizuii mijadala kama hii yenye tija.
Nadhani sheria zilizopo zinatoa fursa kuwadhibiti wafanya fujo.

Mijadala hii ya katiba ni jambo la maana,watu wanaelimishwa,hauwezi kuipiga marufuku,wala hakuna ushahidi kuwa wanaoiandaa wana lengo la kuleta fujo.

Baadhi ya watu ndio wanataka kuigeuza kuwa fujo,na watu hao hawahusiki kuiandaa,watafutwe,sheria zilizopo ziwashughulikie kama wahalifu.Suala si kupiga marufuku mijadala hii,au kuwazuia akina Warioba wasielimishe watu,bali suala ni kuwakamata hawa wahuni kama huyo "konda" wa Lumumba na wahuni wenzie wapelekwe kwenye sheria.
Asipochukuliwa hatua huyu na wahuni wenzie,basi ni wazi katumwa kazi hiyo ya problem,reaction,solution,na utakuwa mwendelezo tu wa zile fujo za pale bungeni(ili watu waone bunge halifai,bahati mbaya Ukawa wakastukia chezo,wakatoka,mbinu ikawa chungu manake bunge likaonekana la ovyo bila Ukawa),kwenye mikutano ya vyama n.k.

Hii nchi inaongozwa kimafia sana.Watu hawajui tu.
 
Kwa hivyo akili ni kupotosha kuanzia sheria walizoshiriki kuzitunga UKAWA, utaratibu waliomua kuufuata na baadae kukimbia mchakato wa katiba kwa sababu za kimaslahi binafsi.

Mbona vitu viko wazi baada ya rasimu kutakuwa hakuna midahalo ya kuhusu katiba tena.

Imbecile mwenyewe katiba ikishatungwa na bunge wananchi tena wataamua kwa kuipigia kura. Wakati CCM wanainada kwa wananchi waikubali; kwa nini UKAWA wasiwashawishi kuikataa kwa kuwaeleza maslahi ya wananchi yamenyimwa wapi kikatiba.

Sasa wewe pimbi unaelazimisha agenda za lazima ndio unaona akili? Ni kwanini udhani wengine wanahaki ya kusema yale waliyo yaandika wao ndio sahihi? Vinginevyo funga domo lako maana uwezi kuchanganya na zako.

We Kilaza pale Ubungo plaza hapakuwa na mdahalo.Kilichofanyika ilikuwa ni kongamano!Kataweze upenyezewe vizuri.
 
Huyo jamaa anasema jambo la ajabu sana.

Anatetea demokrasia kwa kuiminya demokrasia, wapi nawapi?

Utakuwa vipi na demokrasia kama hutaki uhuru wa watu kujieleza, kupata habari na elimu ya umma?

Hawa watu wanaotaka habari za kuzibana midomo wanaogopa nini? Wanaogopa kwamba watu wakipata elimu uongo utaonekana wazi?

Mkuu, huyo jamaa hajitambui, he picks maneno vichochoroni na bila kuchuja (kwa sababu anazozijua yeye) anakuja kutapika humu, i can bet kwamba jamaa hana hata idea ya katiba ni nini, rasimu ni nini wala nini

Na hao ndio washabiki maandazi nambari wani wa siasa za bongo
 
Kwa hiyo ukienda peku na leo umevaa viatu kwa hiyo kilimo kwanza kimewasaidia hao wakulima?Kwa information tu niko kijijini saa hii na maisha ya mtu wa kawaida tu ni magumu,hicho kilimo kwanza labda kimemsaidia mtoto wa mjomba wa watawala wetu.Pole bado haujanibadili msimamo wangu wa utawala huu wa Prof wa kichina.
Safari ya mabadiliko imeanzishwa na wale wanaochangia kurudisha nyuma maendeleo wameanza kushughulikiwa hayo ndio maazimio ya serikari. Awali ilikuwa ngumu kwa sababu hakuna ata kilicho kuwa kinaeleweka leo kupitia ubora wa sera na malengo watu wameanza kuwaona wahujumu wenyewe.

Usijali rome was nt built over night lakini watu wanafanya kazi usiku na mchana kuwaletea maendeleo watanzania.
 
Mkuu, huyo jamaa hajitambui, he picks maneno vichochoroni na bila kuchuja (kwa sababu anazozijua yeye) anakuja kutapika humu, i can bet kwamba jamaa hana hata idea ya katiba ni nini, rasimu ni nini wala nini

Na hao ndio washabiki maandazi nambari wani wa siasa za bongo
Hata sijui naanzia wapi na mwelevu wewe. Maana vitu unavyo ni accuse navyo mimi ndio unavyokuja navyo wewe that is kuokota okota maneno ya mtaani na kuyaandikia huku ukijifanya mjuaji; kaazi kweli kweli.

Ni hivi hakuna mtu aliekataa kwa jinsi mambo yalipofikia wananchi kuto elimishwa kuhusu katiba iliyopendekezwa vinginevyo ni nini hasa mantiki ya watu kupiga kura kama hawajui wanapigia kura nini in the first place iwe ya kuikubali au kuikataa katiba mpya.

Issue hapa ni upotoshaji wa njia zilizo tumika kupatikana kwa katiba mpya na marekebisho yaliyofanywa hicho ndio kinachopingwa it is as if rasimu ya jaji warioba ndio ilitakiwa kuwa final draft kitu ambacho si kweli kisheria.

Ngoja nikurudishe nyuma bunge la Jamhuri ya muungano ndio lililo azimia na kupitisha sheria ya mabadiliko ya katiba na process nzima ya mchakato. Kuna mengi yaliyotokea kutoka kwa wana UKAWA (kabla ya kuwa official genge la wahuni) kuhusu sheria ya kupatikana kwa katiba na kila mara wakawa wanaenda ikulu wanakubali suluhu. That legitimize the whole process ya awamu ya kwanza.

Awamu ya pili ni majadiliano ya rasimu ya tume, kuna mambo baadhi ambayo wengine waliamini tume imependekeza kutokana na msukumo wa values and beliefs zao this became an Essentially_contested_concept given the facts and other view points.

CCM hawakukataa kazi ya tume walichofanya ni kusubiri mijadala ya bunge ianze watoe madukuduku yao and contest bunge ikiwa kama sehemu ya mijadala ikumbukwe advantage ilikuwa ya UKAWA wangeingia bungeni kutetea uhalali wa mapendekezo. Vile vile kwenye muundo wa serikari, isitoshe pia sehemu kubwa ya uongozi kiukweli wenyewe ni beliefs and values za tume pia kuliko uhalisia wa mambo.

Again hayo maswala yalikuwa yanahitaji mijadala ya kueleweka na justifications za kisiasa tunataka kutengeneza jamii ya namna gani kwenye uongozi, tunataka mkono wa sheria usimamie vipi uongozi ie ukomo, mali zao etc yote hayo yanahitaji uthibitisho kama ni mema kwa Tanzania. Lakini si kwa sababu mtu kaandika eti ndio lazima that is more that pathetic. Kwa hivyo for the most watu walio haribu mchakato wa katiba ni UKAWA si mwengine yeyote kwa kuwa CCM walikuwa wengi unaweza sema balance sahihi kidogo ilikosekana lakini who is to blame?

Tatu leo tunatarajia watu wakosoe sovereign powers zilizopo kwenye katiba na mengineo ya haki za kuongozwa kama taifa na moral thesis ya katiba inayopendekezwa. Ikosolowe in functions viongozi wa UKAWA lazima wajue na wao wana moral obligation ya kulinda amani kutowajaza watu upumbavu na mengineo ya uongo sina tatizo kama watu wanawaelimisha wananchi kama tunafahamu tunachopigia kura na nguvu tunazoipa serikari in the future hata kama itakuwa ya UKAWA na kujua faida zetu au hasara zetu zilizopo kwenye katiba kabla atujaikubali.

Lakini hizi habari za uchochezi na uongo sijui wananchi walisema hivi wamefuta, sijui mimi niliongea hivi wamefuta, sijui CCM imeandika katiba yake, imefuta maadili ya uongozi and nonsense za kuchochea watu azikubaliki na hiyo siyo democracy isipokuwa ni misimamo ya anarchists ambayo wanadhani lazima iwe hivyo kwenye jamii tena kwa kukimbia taratibu za sheria na demokrasia kama sheria ya mabadiliko ilivyotaka.

Huo ndio uhalisia wa mambo na sio kudhani wewe ndio huko sawa kisa una muono kama ni miono kwenye watu millioni 46 mbona ingekuwa kasheshe kila mtu akipewa kipaza sauti kuna watu wanaona mpaka kuuwa albino ni sawa is morally right ndio maana kuna serikari, sheria na taratibu za kufanya mambo unapokataa taratibu hizo za kidemokrasia na kuongopa lazima udhibitiwe itungwe tu hiyo sheria sie pacifist tumeshachoka.
 
sasa umehamisha goals kutoka kwa warioba anaropoka to Ukawa?? vipi warioba alikua anawawakilisha ukawa jana??

dude, are you retarded?? stop shifting goal posts and beating arounf the bush... go to the first post i quoted you]

smart a$$es need memory too

Mkuu, sintopoteza muda tena na wewe, unabadilika-badilika tu... unahangaika na pointless history bila kujua kwamba the most equipped person to talk about katiba ni yule aliyepewa jukumu la kwanza kuandaa

Tunakaa na kulokota maoni ya wapuuzi kama akina komba, maji marefu na wale malaya waliokua waliuza mandazi kwenye BMK ... and then you want me to talk about the process

are you sure you are not on cracks??

done and dusted

you are in my ignore list
 
It starts with 'tabula rasa' then causation au we unadhani malalamiko ya warioba misingi yake ni nini kama sio kazi aliyopewa na kilicho endelea sasa unakosoa vipi. Kaazi kweli kweli didn't i say unakatibia ka kudhani maoni yako are supposed to encompass the whole argument be it ni kasehemu tu cha cause.

You can ignore the act will be reciprocated.
 
Hawa kama waliweza kuwapigisha kura marehemu, hili ni jepesi sana kwao. Hata hivyo wa kulaumiwa ni sisi wananchi. Tumekuwa passive sana hata kwa mambo yanayotuaffect moja kwa moja sisi na vizazi vyetu vijavyo. Tunawakodolea walanguzi wanakausha duka letu huku tumekunja mikono.
 
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.

Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.

Kumbe Dunia ina wajinga first class kama huyu mpaka leo?? wazo lako ni sawa na kusema wanafunzi waanze kidato cha kwanza halafu bila kufundishwa waende wakafanye mtihani wa kidato cha nne unategemea nini hapo? KATIBA ina mambo mengi ambayo watu wa kawaida kama wewe hawayajui kwa hiyo ni lazima waelimishwe kwa kuelimishwa kipengele baada ya kipengele ili waijue ndio waweze kuamua nini cha kufanya.
NB
Kama jambo hulijui siyo lazima uchangie.
 
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.

Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.

Hata mama yako na baba yako huwa wanajadiliana juu ya mambo yao. Kwanini baba yako asiamue tuu mambo yaende??
 
Ni lazima CCM ikosee ndipo fikra kinzani ziendelee kumea..good move.
 
Jaji Warioba keshajiwekea reputation ukiangalia video ya jana hakuna kibaya alichokisema lakini kwa kuwa kwa kipindi kirefu amekuwa akipayuka hovyo hata mimi nilitegemea there he goes again kiasi ya mkute.

Phase ya sasa ya kuinadi inahusu maswala ya utekelekezaji na kama haki na misingi ya uendeshwaji wa serikari hiko sahihi mengine ni hisia ambazo hazina uhalisia au hazitekelezeki ndio sababu vilifutwa.

Kukosoa isiwe hadithi za rasimu ya warioba na alichopendekeza kukosoa kuangaliwe kwa misingi ya preambles, government sections, bill of rights and amending. Hizo ndio hoja za sasa sio jaji warioba alisema nini.

Kwanini mnakuwa waoga mkisikia.Mzee Warioba anaongelea mambo ya KATIBA? hii inaonyesha mlitaka kuwauzia watu Mbuzi kwenye Gunia sasa Mzee Warioba nikm anawafumbua macho watu.wasiojua sasa nyie hamtaki sababu anatishia UGALI wenu ndio maana mnatokwa miPOVU tu,,,acheni hzo NCH hii niyetu sote
 
This could be true because they have created a reason for that. They were looking for a reason and now they have made own reasons to stop mijadala.
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"

Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.

Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"

Wageni wote karibuni Tanzania.
 
Ccm wanajitabiria kifo chao
 
Attachments

  • 3 Rage akipambana na Chadema A.jpg
    3 Rage akipambana na Chadema A.jpg
    54.8 KB · Views: 87
Safari ya mabadiliko imeanzishwa na wale wanaochangia kurudisha nyuma maendeleo wameanza kushughulikiwa hayo ndio maazimio ya serikari. Awali ilikuwa ngumu kwa sababu hakuna ata kilicho kuwa kinaeleweka leo kupitia ubora wa sera na malengo watu wameanza kuwaona wahujumu wenyewe.

Usijali rome was nt built over night lakini watu wanafanya kazi usiku na mchana kuwaletea maendeleo watanzania.

Watu hao akina nani?Sitta,Chenge au Lukuvi?Hivi hawa wanaouza raslimali zetu kwa vipande thelathini vya pesa ndiyo unawaona watatuletea mabadiliko?

Au huyu anayesafiri kwa kisingizio cha kuleta wawekezaji hivi hawa wazungu ni wajomba zetu?Ok sawa ni wajomba zetu basi hata ile methali ya "Mtumai cha ndugu hufa maskini" pia hajawahi kuisikia hata kuifanyia kazi?

Ninaogopa kumtukana tu maana katika watu waliomchoka huyu Prof wa Kichina mie ni number moja.
 
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"

Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.

Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"

Wageni wote karibuni Tanzania.
mbona vasco da gama bado anazurura wakati kuna ebola?
 
Back
Top Bottom