Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Serikali kuzuia mijadala ya katiba

Kwani ni kuijua CCM au uhalali wa process nzima na rasimu yenyewe, Jaji warioba ana amini rasimu aliyoiandika yeye ndio ilitakiwa kuwa katiba sasa sijui bunge la katiba lilikuwa na shughuli gani.

Hapana wacheni kudanganya watu hamaanishi hivyo Mlichokosea nyinyi watu nikuja na MAONI MAPYA kilichotakiwa pale ni kuboresha sio KUFUTA msingi wa RASIMU hucka,,,, Hebu nikuulize ndugu hivi huu Muungano wetu ni Sampuli ya wapi,,,!
 
Sijabishia kutoa elimu lakini wasitunge uongo na upotoshaji hiyo inakuwa sio elimu bali misleading.

Upotoshaji upi wanaofanya akina Warioba kusema kwamba BMK limeondoa mambo.ya.uaDILIFU ndo kupotosha,,,,!hivi hamjiulizi watu wote wanaotumia ubongo kufikiri badala ya uTUMBO km nyinyi wanabeza hiyo ILANI yenu ya uchaguzi hamjishangai??
 
Makonda alitakiwa awe anasemea Sero,kama kujitetea ajitete akiwa Sero
 
Ikipata baraka za kura ya maoni ndio katiba yenyewe anyway does it matter, kwani kuna anaekataa kutoa elimu kuhusu hiyo rasimu ya katiba iliyopo. Tatizo ni longo longo za kutaka kurudisha hadithi za kutoa maoni na kuzungumzia maoni kishabiki na kwa upendeleo as if the whole thing is not legit or the process was undemocratic huo ni upotoshaji kabisa.
unajichanganya sana, sidhani kama kuna mtu anataka kurudhisha zama ya kutoa maoni, what Warioba is doing ni kuelezea nini kilifanyika, what was the outcome na kitu gani kimepindishwa ili kuuchanganya umma

And that is important, kumbuka katiba ya nchi haina chama, sio katiba/vijarida vya vyama ambayo vinaweza kuchezewa chezewa tu

You need some serious education
 
Serikali inatapatapa kwama samaki aliyetolewa majini. Hata wakizuia midahalo kamwe hawawezi kuzuia ukweli na siku zote ukweli huwa unauma.
 
Wewe ndio unajua kila kitu; hivi kwanini tena rasimu aifai? Ooh yeah kwa sababu Mbowe kasema si ndio au?

hivi na wewe unaelimu au hata kusoma hujui! Kasome katiba zote rasimu ya warioba na pendekezwa kifungu kwa kifungu halafu ndio uje hapa maana naona nahisi hata kusoma hujui.
 
Hii itakuwa ni kubaka upataji wa taarifa muhimu kwa ajili ya manufaa ya nchi na watu wake. Ila kuzuiz upepo kwa ngunia ni kazi bure tuuuu
 
"ccm bila vyombo vya dola ni
weupe kama karatasi",Dr Slaa
 
Magamba yote ni debe tupu,hayana hoja yamebaki na viroja tu
 
Kwanza wamechelewa kwa sababu sheria ya mabadiliko ya katiba ilitaka baada ya rasimu mijadala kuhusu katiba isiwepo tena hili kutoingiza ushawishi wa siasa; lakini mzee wetu Warioba sijui ana nini asikii yule babu yeye na wenzake wa UKAWA.

Hawa watu ni hatari kwa amani yetu si watu wakukubali demokrasia ichukue mkondo si wasubiri kura ya maoni tu.

Mbona haujawataja Kinana na Nape? kwani nao tumewaona na kuwasikia wakiongelea hili Likatiba lao au kwa akili zako na kwa ushabiki ulionao kwa maCCM unaona Kinana na Nepi wanachofanya ni sahihi.
 
Serikali inajipanga kuzuia midahalo yote na hasa inayorushwa kwenye TV kwa kile wanachokiita "sababu za kiusalama"

Kama vile ambavyo mara nyingi vyama pinzani wamekuwa wakizuiwa kufanya mikutano kwasababu za "kiusalama" ndivyo hivyo midahalo hiyo itakavyozuiliwa.

Kwahiyo wanajamii tujiandae kupokea barua hiyo muda wowote ule itakayozuia midahalo "KWASABABU ZA KIUSALAMA"

Wageni wote karibuni Tanzania.

Tukio la kuvuruga mkutano wa iliyokuwa tume ya katiba imeaibisha serikali kuwa haiwajibiki katika kulinda wananchi wake na hasa wanaotofautiana katika mawazo yao.
 
Let me guess CCM iliwafungia milango wajumbe wa UKAWA wasishiriki si UKAWA wenyewe wamekubali akili ndogo iongoze akili kubwa na kuchukua maamuzi ya kipuuzi kususia bunge sasa wanalia nini.

Wawache wananchi waamue kama katiba mpya aiwafai; lakini habari za tume ya rasimu ilishakwisha loongi na muda wa kutoa maoni pia.


You are senior ASSHOLE bro
 
Bora, manake huyu babu WARYOBA amelewa Uenyekiti wa Tume.
 
Upotoshaji upi wanaofanya akina Warioba kusema kwamba BMK limeondoa mambo.ya.uaDILIFU ndo kupotosha,,,,!hivi hamjiulizi watu wote wanaotumia ubongo kufikiri badala ya uTUMBO km nyinyi wanabeza hiyo ILANI yenu ya uchaguzi hamjishangai??

MAMBO YA UADLIFU siyo lazima anayoyataka WARYOBA.
 
Back
Top Bottom