Serikali kuwapatia viwanja Polisi ili wasifedheheke wakistaafu

Usenge kabisa,,polisi,gani wanafanya kazi nzuri na kazi gani,,taasisi,imejaa rushwa tu .

Watu na pesa ya posho, wana mshahara leo tena wanawazia viwanja, kwa hiyo hii nchi polisi tu ndiyo wanashida.

Usenge kabis HUU

Itakuwa kazi nzuri za kubambikiza kesi, rushwa, wizi ukiwamo wa kura, kupoteza watu na vya namna hiyo.
 
Ni nini kifanyike kukomesha rushwa na kesi za kubambikia kwa polisi wa Afrika?

Panapo utawala wa kidemokrasia haki na rule of law hutamalaki.

Tuachane na ubinafsi tuwekeze kwenye usawa, haki na maendeleo vya watu. Mbona wenzetu wanafanikiwa.

Uongozi si ufedhuli.

Turejelee ya katiba mpya. Tunahitaji maafikiano mapya ya coexistence. Yaliyopo siyo!
 
Tatizo kubwa ni uji faces Tanzania walio wengi. Kama wanakubali kununuliwa kwa shilingi 10,000 wahudhurie mikutano ya CCM ili kujaza uwanja unadhani wako tayari kupigania katiba mpya?
 
Tatizo kubwa ni uji faces Tanzania walio wengi. Kama wanakubali kununuliwa kwa shilingi 10,000 wahudhurie mikutano ya CCM ili kujaza uwanja unadhani wako tayari kupigania katiba mpya?

Ninakubaliana nawe kuhusiana na ujinga uliopitiliza uliopo.

Yako mengi ambayo yana ukakasi mno ya Corona ni mfano mmoja.

Pamoja na yote hayo kukaa kimya haiwezi kuwa option. Roma haikujengwa kwa siku moja.

Kwamba sasa tunaye rais anayeongea kuhusu haki hadharani na mwenye huruma, yawezekana hatuna muda bora zaidi ya huu.

Mtikila (rip) alipenda kusema - saa ya ukombozi ni sasa!
 
Ati askari polisi wasamehewe kodi ya vifaa vya ujenzi!
Hivi kodi zinatakiwa kulipa na nani haswa hapa nchini.
 
Ati askari polisi wasamehewe kodi ya vifaa vya ujenzi!
Hivi kodi zinatakiwa kulipa na nani haswa hapa nchini.

Hii nchi shida sana. Wasamehewa kodi wanaopigiwa chapuo si wengine wanahusika huku pia:

 
Polisi pekee ndiyo watumishi nchi hii?

Walimu na mishahara yao duni hawahitaji viwanja? Hawahitaji unafuu wa bei?

Kupanga ni kuchagua hao wanaoadhirika wakistaafu, hawakujipanga.

Tuache upendeleo kwenye kada fulani.

Everyday is Saturday
Nafkiri ni mipango ya wizara, na hao wengine nao wizara zao zingeiga mfano huo
 
Kwani hawalipwi mishahara ??? tena mikubwa sana kuliko ya sie wafagia ofisi za serikali na wafuta vioo ,mkitoa hivyo viwanja na sisi tea boys katika ofisi za serikali mtupatie.
 
rpc astaafu hana kiwanja!!!kuna matamanio mengi yanaweza kutimia maishani mwako ila kwa hao watu,ni sawa na kutamani jua literemke.

kama unajua makoplo wanakula rushwa road tafakari kuhusu mtu kama mroto.
 
Usenge kabisa,,polisi,gani wanafanya kazi nzuri na kazi gani,,taasisi,imejaa rushwa tu .

Watu na pesa ya posho, wana mshahara leo tena wanawazia viwanja, kwa hiyo hii nchi polisi tu ndiyo wanashida.

Usenge kabis HUU
hivi unajua mod mmoja wao ni polisi
.
 
Huu ni ujinga kufikiria upendeleo wa aina yoyote kwa kada yoyote.
Upendeleo wa aina hii ulianzia kwenye taasisi za fedha ambako serikali iliamua kuwapa mishahara mikubwa na marupurupu mengi ili kupunguza udokozi, lakini matokeo yake ni tofauti kwani wizi na rushwa vimeshamiri.
 
Wasipowaongezea na kuwaboreshea maslah yao hata hivyo viwanja wanaweza kuuza tu wakati**mbe
 
Nasisi walala hoi mtufikirie
Tunavihitaji
Kweli mwenye nacho huongezewa
Hiv hao polis si watumishi kama watumishi wengine
Wana kitu gani special mpaka wapewe viwanja
Sijui serikali imetumia vigezo gani
Bwana haki sawa iwe kwa watumishi wote
Acheni kubagua sector
 
Polisi wana namna nyingi za kuchukua rushwa, wana uwezo wa kununua viwanja, hii ofa ya viwanja wapewe walimu...alisikila mlevi mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…