Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,345
- 97,037
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na Saint anne
Loh!na Saint anne nilimsahau vipi hapo?😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na Saint anne
Kwani serikali aliyotaja britanicca ni CCM?
Aisee kama serikali aliyoitaja britanicca ni ya CCM basi mimi anitoe tu kwa kweli
Njoo kwenye chama changu cha upinzanj😀Aisee kama serikali aliyoitaja britanicca ni ya CCM basi mimi anitoe tu kwa kweli
Hongera mheshimiwa naona umekula mucheo.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]ati mie msaidizi wako
Loh!na Saint anne nilimsahau vipi hapo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhhhiiiihhh...kumbe wewe ni 'men in black'..
najuaga bonge LA shori,full msambwanda na madikodiko yote inside yapo..
basi nimeingia cha chekechea!
Sorry dawg.
😂 😂Kama ndo tafsiri yake hata unaibu spika haunifai asee 😂😂😂
Kuna kina Depal SweetieLee au hata troublemaker angekuwa spika 😂😂
Njoo kwenye chama changu cha upinzanj[emoji3]
Hongera mheshimiwa naona umekula mucheo.
Nitaenda Ruangwa ku practise utamaduni.Ndio umewekwa idara ya utamaduni 😅
😂 😂 😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dada angu mbona na wewe uko vizuri sana tu
😂 😂Kubishana sio shida,shida inakuja kuwekwa kamati moja na wanakijani 😃😃
😂 😂
Si bora muninyonge.!!