Gachuma jr
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 839
- 452
Baraza zuri,hongereni wateuliwa,ila Mheshimiwa nakuomba umpe japo Udereva joseverest anajali muda sana.







Hahabritanicca umemsahau instanbul mpe usemaji ofisi ya katibu tawala mkoa wa kagera
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata usipolipwa fresh tuNaomba kufanya kazi ofisin kwa Makamu wa Rais Mh. shunie
Nikiwa secretary wake itanifaa zaidi.


Huu nao ni udikteta kutuchagulia viongozi kibabe bila kupiga kura.
Napinga hili, rasmi nitakuwa muasi.