Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,843
- 10,765
Wakuu nilishituka sana jana wakati wa kipindi kinachotumika kuwajenga viongozi mbali mbali wa serikali na CCM (dakika 45), mara hii kikimhusisha waziri Simbachawene.
Akiongea kwa kujiamini waziri alidai kuwa "serikali ina polisi na JW hivyo ina uwezo wa kuvitumia vyombo hivyo kuhakikisha bomba linajengwa, lakini hatutaki tufike huko." Mtazamo wangu: kama serikali imeamua kuwa vyovyote vile bomba lazima lijengwe, basi kuna kitu kinafichwa nyuma ya mradi huu.