Pakome
JF-Expert Member
- Dec 8, 2024
- 1,541
- 916
Maendeleo makubwa hayawezi kuja pasipo kufahamu changamoto zinazozuia mafanikio
JamiiForums kwa miaka mingi imekuwa ikitatua changamoto za Afrika hasa katika maswala yanayoigusa jamii kwa ujumla kupitia habari, jambo lililokuwa likisaidia Serikali kuona changamoto za Wananchi wake na kutatua
Ikiwa kuna changamoto za maudhui basi ni vyema kuikumbusha kanuni za Mawasiliano badala ya kusitisha huduma kwani maudhui yote ni user generated content na ikiwa kuna makosa basi yanakuwa yamesababishwa na baadhi ya watumiaji wasiofahamu Sheria za mitandao ya kijamii na sio mtandao wenyewe kwani JamiiForums inajenga Afrika na sio kubomoa na hii ndiyo dhamira kubwa ya chombo hiki cha mawasiliano
Kuna haja ya kuishika mkono na kuionesha njia bora zaidi za kuongeza ufanisi badala ya kuizuia kwani hawa ni vijana wa Afrika walioamua kutatua changamoto zinazokumba Jamii zetu kupitia habari badala ya kujiingiza kwenye makundi mabaya
Tuna kila sababu ya kuwapongeza na kuwashika mkono kwa namna yeyote ile ili waendelee kuchochea maendeleo ya Afrika