Hizi ni hadithi mkuu, sisi tupande mabasi. Mbona ni mazuri sana!Hujaelewa namaanisha waiboreshe iwe hata kama hiyo wanayotaka kujenga reli ya kati unaondoka dar asubuhi jioni upo moshi kwa usafiri wa bei nafuu na uhakika
Na wewe kweli Karumekenge! Kwa hiyo kama wameliona kosa wasilisahihishe kisa wamechelewa? Ama kweli kwenye msafara wa mamba na Kenge wamo! JF imepata Kenge wake!Kuchezea pesa ya umma, leo ndo wameona daraja ni jembamba???
Daraja lilitakiwa kujengwa siku nyingi kabla ya kununua bombardierpale kweli panastahili daraja jipya....