RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,503
- 135,527
Ok ni afadhali wajenge sehemu ingine maanake imagine hili moja likipata hitilafu.Sasa barabara inayotumika ni Tanga mjini-Segera- Chalinze ambayo inapita mtoto wami( kumbuka mto wami ndo unatenganisha Tanga na mkoa wa Pwani). Sasa serikali inataka kujenga barabara ambayo itakuwa route mpya kwa Tanga dar, hii itapitia Tanga-Pangani-Sadani-Bagamoyo, lakini hii route mpya pia itavuka mto wami na hivyo ujenzi wa daraja ni lazima( sijajua hii route mpya itatokea hapo hapo ilipo wami bridge ya sasa au kwingine, lakini for sure lazima wavuke mto wami)