B 300 ni nyingi bora wangepewa TBAHilo daraja ni zaidi ya billion 300? jamani TBA wako wapi watusaidie?
Hatuna wataalam hapa Tz.hizo bil.300 ni daraja pekee au kuna mengine?
Wataalam mliomo humu toeni mchanganuo...
Aisee....miaka yote na risks zote gharama ya ujenzi ni bilioni 3 tu? au kuna sifuri (z)imesahaulika?!!!Serikali imesema kuwa itajenga daraja jipya mto Wami kwa kuwa Daraja linalotumika sasa ni dogo na limekuwa likisababisha usumbufu iwapo gari itaharibika katikati ya Daraja.
Ujenzi huo utagharimu kiasi cha shilingi za kitanzania Bilioni 3.
Source:The Guardian 02:02:2017
Kwani wamesema ujenzi wa hili daraja mdhamini ni huyo huyo wa barabara ya tanga-pangani? Au kukiwa na mradi wa barabara miradi mingine kama madaraja sehemu nyingine haiwezi kuendelea?Kuna mradi ulipitishwa mwaka juzi kabla JK hajaondoka, huu mradi ulikuwa ni wa ujenzi wa barabara yenye urefu wa 242km kutoka Tanga mjini kupitia Pangani, Sadani mpaka bagamoyo. Huu mradi upo chini ya Secretariat ya Africa mashariki na ujenzi wake utajumuisha pia ujenzi wa madaraja mawili, daraja la mto Pangani na daraja la mto wami ambalo litaunganisha mkoa wa Tanga na Pwani. Mradi huu ulitarajiwa kuanza mwaka wa fedha 2017/18, serikali ilisema inatafuta sponsor ambapo benki ya maendeleo ya ADB ilishaonesha nia ya kudhamini huo mradi. Sasa hiyo taarifa ya ujenzi wa daraja la mto Wami imekaaje ina maana wameamua kuweka pending mradi mzima wajenge kwanza daraja?
Umeeelewa nilichouliza? Yaani project ya daraja la wami ipo ndani ya project Tanga-Pangani-Bagamoyo, sasa naona wanataka kujenga daraja la wami tu ndo nikauliza project nzima imeishia wapi?Kwani wamesema ujenzi wa hili daraja mdhamini ni huyo huyo wa barabara ya tanga-pangani? Au kukiwa na mradi wa barabara miradi mingine kama madaraja sehemu nyingine haiwezi kuendelea?
sasa deal zote zinasimamiwa na mkuu, nadhani hakuna ujanja hapo...Tuangalie wapiga dili wasiingilie!
Jiografia yangu haiko vizuri, mimi najua daraja la mto Wami lipo kwenye barabara ya chalinze-segera.Umeeelewa nilichouliza? Yaani project ya daraja la wami ipo ndani ya project Tanga-Pangani-Bagamoyo, sasa naona wanataka kujenga daraja la wami tu ndo nikauliza project nzima imeishia wapi?
pale ndugu kuna pembeni kweli....? sidhani maana lile eneo ni issueNa kama inawezekana lihamishiwe pembeni kuondosha zile kona maana ndizo husababisha ajali mara kwa mara
Sasa barabara inayotumika ni Tanga mjini-Segera- Chalinze ambayo inapita mtoto wami( kumbuka mto wami ndo unatenganisha Tanga na mkoa wa Pwani). Sasa serikali inataka kujenga barabara ambayo itakuwa route mpya kwa Tanga dar, hii itapitia Tanga-Pangani-Sadani-Bagamoyo, lakini hii route mpya pia itavuka mto wami na hivyo ujenzi wa daraja ni lazima( sijajua hii route mpya itatokea hapo hapo ilipo wami bridge ya sasa au kwingine, lakini for sure lazima wavuke mto wami)Jiografia yangu haiko vizuri, mimi najua daraja la mto Wami lipo kwenye barabara ya chalinze-segera.
Mkuu umeongea vyema.lile daraja sijui waliolibuni kwa nini waliliweka vile.daraja limejaa kona pande zote.wakiweza kutafta paha pamenyook ingekua safi sana.kona zile hatarishi sana.Na kama inawezekana lihamishiwe pembeni kuondosha zile kona maana ndizo husababisha ajali mara kwa mara
Tofauti ya Daraja na Fly over ni nini?Safi Sana.Na kama bajeti inatosha iwekwe fly over kutoka ng'ambo moja kwenda ng'ambo nyingine.Ile milima inaleta ajali sana na hasa kwa Malori.Hapa tuipigie makofi serikali kwaa kwaa kwaaa.