Serikali kuja na pedi za kike za kurudia

Serikali kuja na pedi za kike za kurudia

Hizo kwangu mimi hapana.
Ivae halafu urudie tena yataka moyo
Labda kama ukitumia unafua then unatumia tena.
Hahahaha Yan ww ndo wanaozungumziwa hum, kwahiyo unataka uvae then usifue?
 
Hahahaha Yan ww ndo wanaozungumziwa hum, kwahiyo unataka uvae then usifue?
Nadhani hamjanielewa.
Nimemaanisha kam itavaliwa na kufuliwa sawa.
Ila kama unaivaa halafu unairudia bila kuifua hiyo inahitaji moyo.
Naona mmeniamkia mana mnaniandama kha!
 
Serikali itoe ruzuku, pedi ziuzwe sawa na bure kila mwanamke aweze kupata
Hii ya kufua ni mtihani,
Nawaza upo kazini, unaivua alafu unaiweka wapi!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Kwanini kufua iwe mtihani? Kabla ya pedi za sasa ilikuwaje?
Hapo kabla muda na mazingira yaliruhusu maana akina mama shughuli zao zilikuwa za nyumbani zaidi, sasa hivi ni ngumu sana. Upo kazini utaivua then uiweke wapi ukisubiri kuifua? Na kwa muda huo inasubiriwa kufuliwa haitoleta madhara???
 
kati ya manaibu waziri ambao hawajitambui na kigwangala Naye yumo.huyu bwana aliwahi kuwafungia watumishi wakati sio mwajiri yaani ni moja kati yavwakurupukaji wa kiwango cha PhD.
 
Nadhani hamjanielewa.
Nimemaanisha kam itavaliwa na kufuliwa sawa.
Ila kama unaivaa halafu unairudia bila kuifua hiyo inahitaji moyo.
Naona mmeniamkia mana mnaniandama kha!
Hahahahah mbona povu mkuu
 
Ubunifu gani utakaofanyika hapo zaidi ya kuiga tu au kukopi kwa wenzetu hizo pedi za kutumia zaid ya mara moja zipo muda tu.
b5ab8ad8c731a93edf3152ac4eda8ff5.jpg

Dada tunaomba tuandikie thread ya kukosoa Hiyo taka yao wajue hiyo kitu wana infringe patent right za watu maana kigwangala ye anataka misifa tu ya uongo.
 
Hapo kabla muda na mazingira yaliruhusu maana akina mama shughuli zao zilikuwa za nyumbani zaidi, sasa hivi ni ngumu sana. Upo kazini utaivua then uiweke wapi ukisubiri kuifua? Na kwa muda huo inasubiriwa kufuliwa haitoleta madhara???
Yani mwanaume ataelewaje na hajawahi kuingia 'siku'..mtu hadi uexperience ndo utaelewa aisee
 
>>>>Naibu waziri amedanganywa akadanganyika....... Hizi taulo zipo kitambo . . Hakuna ubunifu wala nini hapo

Tatizo naibu waziri hatumii hizo kitu kwa hyo ni rahs kuingizwa chaka
 
Haya tumpe mazito matatu, [emoji122][emoji122][emoji122].
 
Yani mwanaume ataelewaje na hajawahi kuingia 'siku'..mtu hadi uexperience ndo utaelewa aisee
Ni kweli kabisa, wao wataona tu kuwa usasa umetujaa ila mazingira ya kisasa ndio yanatulimit.
Jamani we nolonger in stone ages, ndio maana hata walozileta ukiangalia target yao ni kwa jamii za vijijini ambazo wanaweza kuzimudu.
 
Back
Top Bottom