Serikali kuja na pedi za kike za kurudia

dah afadhali... Mama yenu mdogo ntakua namchukulia nusu dzn, itafaa mwaka mzima
 
Ubunifu gani utakaofanyika hapo zaidi ya kuiga tu au kukopi kwa wenzetu hizo pedi za kutumia zaid ya mara moja zipo muda tu.
b5ab8ad8c731a93edf3152ac4eda8ff5.jpg
Daaaa....ushawaziba midomo viongoz wako..
Wao wanafikiri kwanataka kufanya ama kuzalisha jipya.
Ww unawambia waongoo.
Ama kwel njia ya mdanganyifu siku zote ni fupi kuliko dile la gumba.

Heshima kaako _aysher
 
Hapo kabla muda na mazingira yaliruhusu maana akina mama shughuli zao zilikuwa za nyumbani zaidi, sasa hivi ni ngumu sana. Upo kazini utaivua then uiweke wapi ukisubiri kuifua? Na kwa muda huo inasubiriwa kufuliwa haitoleta madhara???
Zile handbag mnabeba huwa zinakuwa na nini? You can keep in the bag, wrap in a plastic bag then things will be fine.
 
Zile handbag mnabeba huwa zinakuwa na nini? You can keep in the bag, wrap in a plastic bag then things will be fine.
In a plastic bag na joto hili, hadi hiyo jioni nifike home hilo begi si litakuwa balaa!!! Na huo muda iko kwahiyo plastic bag hadi ije ifuliwe haitoleta madhara kwa mtumiaji?
 
In a plastic bag na joto hili, hadi hiyo jioni nifike home hilo begi si litakuwa balaa!!! Na huo muda iko kwahiyo plastic bag hadi ije ifuliwe haitoleta madhara kwa mtumiaji?
Kuna washing detergents, so utazitumia. Mbona mama zetu wanahifadhi nepi zenye haja zote za watoto na tunapanda nao magari ya jumuia na hatuhisi harufu mbaya!
 
Kuna washing detergents, so utazitumia. Mbona mama zetu wanahifadhi nepi zenye haja zote za watoto na tunapanda nao magari ya jumuia na hatuhisi harufu mbaya!
We ni mwanamke?
 
Back
Top Bottom