Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 13,409
- 20,864
Inabidi wachuchumai kwa maana hakuna namna!wanavaaje hapo mkuu?
Inabidi wachuchumai kwa maana hakuna namna!wanavaaje hapo mkuu?
Kwa wale wachafu!!!Maskini pua zangu! Sijui kama tutavumiliana kwenye mabasi ya ferry! Shombo la samaki huku smell za papuchi!
Ukiona hivyo huyo asili yake mchafu tu!!Tegemea K kua na harufu kama dampo kuu la taifa
Mbona nguo ya kwanza ndani kuliko zote unarudia?Hizo kwangu mimi hapana.
Ivae halafu urudie tena yataka moyo
Washatuona mazoba kazi kutudanganyaSasa wanataka kutudanganya wakati hizi zipo muda mrefu tu tunatumia ukitaka kutupa au kufua ni wewe tu lbda kama wanajenga kiwanda cha kukopi hizo sio kubuni.
Unionyeshe lini na wapi niliirudia.Mbona nguo ya kwanza ndani kuliko zote unarudia?
pedi haiwezi kufuliwa? inawezekana linakuja toleo jipya siyo ambalo umelizoea mkuu.Unionyeshe lini na wapi niliirudia.
Halafu nguo ya ndani na pedi ni vitu viwili tofauti mkuu.
Nguo ya ndani huwezi irudia mpaka uifue wakati pedi ukiitumia bas unatupa.
Au mkeo huwa anarudia?
Kwakweli hapo pa kufua duuuh!!!Mi siwezi kufua kwa kwelii ,labda watengeneze zenye ubora zaidi za kuvaa na kutupa,kufua nehi nehi
pedi haiwezi kufuliwa? inawezekana linakuja toleo jipya siyo ambalo umelizoea mkuu.
Makosa ni yakoNimesema labda kama zinafulika
Umeniquote kabla sijaedit
Ndio zinafuliwa hizo.Hizo kwangu mimi hapana.
Ivae halafu urudie tena yataka moyo
Labda kama ukitumia unafua then unatumia tena.