DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 40,555
- 99,409
Service levy ya zaman Sana,Juzi Kati nimeenda ku-renew leseni ya biashara nimeandaa 52k niliyozoea, nafika naambiwa eti kuna upuuzi mwingine umeongezeka inaitwa service levy. Kwahiyo itakuwa jumla 77k (52+25 k)
Sijui ni national wide, sijui ni halmashauri yetu!!
Upuuzi!!!!
sema ulipona pona TU mkuu