Tatizo umeandika porojo sanaKuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO...
Mkuu umeposti uzi huku umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini?Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.
Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa??? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie??
Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .
Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.
Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.
Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
ππππKwi Kwi Kwi
Hoji kwanza kwa nini internet hakunaKuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.