Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

Waende tu labda tutapata upinza mpya wenye dhamira na Nia njema kwa taifa letu.
 
Uasi unaanzaga hivi hivi.
Tanzania hatujawahi kucheka na waasi, tutawaua bila kuwaangalia usoni kwa masilahi mapana ya taifa.Mimi binafsi Niko tayari kukataa kichwa cha mtu yoyote yule atakae thibitika kiukweli kuwa ni gaidi bila kujutia chochote.
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa??? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie??

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.

Rudi shule ukajifunze propaganda sio huu utoto ulioandika hapa.
 
Mngeliachia Uchaguzi ukawa huru,mngeliacha kuwakamata, kuwatisha na kuwabambikia kesi za uongo Wapinzani au watu wenye mawazo tafauti ya kisiasa..

Haya ya Wanasiasa wa upinzani kukimbia Nchi yasingelitokea

Huu Mwanzo tu kuna wimbi kubwa la Watanzania wapenzi wa Vyama vya siasa na wao Wako njiani kikimbia nchi Vile vile

Mnaogopa Vijana kwenda kujiunga na Alshababu, Lakini mlikuwa hamuogopi mlivyokuwa mnawanyanyasa,kuwapiga,kuwatesa na Wengine kupoteza maisha

Tulikuwa tunawapokea wakimbizi kutoka Mataifa mwengine, Sasa tutapokelewa Sisi..

Halafu anatokea mpuuzi kama wewe unaweka Uzi Kama juu, Watanzania wameuawa,wamebakwa, Wengine wamepotea hawajulikani walipo Aibu,Aibu,Aibu

Free Mazurui
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa??? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie??

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
Tumekuelewa mkuu! Asante sana kwa kuona issue hii kwa jicho la kijasusi zaidi.
 
Mngeliachia Uchaguzi ukawa huru,mngeliacha kuwakamata, kuwatisha na kuwabambikia kesi za uongo Wapinzani au watu wenye mawazo tafauti ya kisiasa..

Haya ya Wanasiasa wa upinzani kukimbia Nchi yasingelitokea

Hui Mwanzo tu kuna wimbi kubwa la Watanzania wapenzi wa Vyama vya siasa na matakimbia nchi Vile vile

Mnaogopa Vijana kwenda kujiunga na Alshababu, Lakini mlikuwa hamuogopi mlivyokuwa mnawanyanyasa,kuwapiga,kuwatesa na Wengine kupoteza maisha

Tulikuwa tunawapokea wakimbizi kutoka Mataifa mwengine, Sasa tutapokelewa Sisi..

Halafu anatokea mpuuzi kama wewe unaweka Uzi Kama juu, Watanzania wameuawa,wamebakwa, Wengine wamepotea hawajulikani walipo Aibu,Aibu,Aibu

Free Mazurui
Vipi wewe unakimbia lini?
 
Uko nchi gani na mimi nije huko mkuu?
Hahaha, huku hakukufai,Mkuu..
Huku watu wanajielewa, Wana Utu,wanajali ubinaadamu..

Wewe bakia hapo hapo,unga mkono juhudi za chama na serikali.usije huku ukatuharibia
 
Nimeshakaa UK maeneo ya London, BT Training College, Machester pia Ireland, India, Botswana, Kenya, Uganda na Munich Ujeruman bila kusahau Afrika ya Kusini just to mention few places I visited so far. Hivyo nimeshajifunza culture mbalimbali mkuu.
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa??? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie??

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
Yumkini umekumbwa na uwendawazimu. Kama kuna mwendawazimu kama wewe, atapoteza muda wake kuyafanyia kazi haya matope uliyoyaweka hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kuona madhira ya wazanzibar wakati was uchaguzi natamani hata Leo nikajiunge na al shabab mwenye connection nao naomba jmn
 
Tanzania hatujawahi kucheka na waasi, tutawaua bila kuwaangalia usoni kwa masilahi mapana ya taifa.Mimi binafsi Niko tayari kukataa kichwa cha mtu yoyote yule atakae thibitika kiukweli kuwa ni gaidi bila kujutia chochote.
Mac Alpho ni wewe😎😎😎
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa??? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie??

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
Hebu tuwe utu na tusiandike tu kiushabiki hivi wewe unajua maisha yatu kuliko wengine umemuona Lema huyo sabaya anachofanya nisawa, ccm Arusha kuna mtu anajiitia jumanne ujusi anajulikana Arusha yote na kijana yake ni muuza Madawa ya kuleva yote serikali inaona hamuoni wewe mama yako wala mtoto yako hajawahi kukutana nahaya huongea wala sizani hata una family hebu muulize Nape, Bashe rejea hutuba yake akiwa bungeni mpaka analia ila kwa kuwa Mungu yuko basi subirie Muda
 
Unaanzisha silidi
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa??? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie??

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
Unaazisha silidi Lumumba alaf mnaanza kuichangia wenyewe Lumumba aibuuuu
 
Katiba ya mwaka 1977 ,kiongozi ajue kusoma na kuandika
 
Ivi vitu ungeenda kuwaandikia Facebookers

Back
Top Bottom