Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

mama D hawa jamaa wanaudhi sana, hebu fikiria kukosa kwao ubunge kumewafanya waanze kuiwazia hii nchi mabaya. Mimi kuwa mamlaka niliyonayo siwezi juta kumkata kichwa muasi yeyote wa Taifa langu la Tanzania.
Huu msisitizo wako ni mkubwa sana..... tuomne Mungu tusifike huko kwa kukatana vichwa đź‘Ź
 
Nimeshakaa UK maeneo ya London, BT Training College, Machester pia Ireland, India, Botswana, Kenya, Uganda na Munich Ujeruman bila kusahau Afrika ya Kusini just to mention few places I visited so far. Hivyo nimeshajifunza culture mbalimbali mkuu.
Poa Mkuu,It's good for you,Lakini ningekusihi bakia hapo hapo Bongo,unga mkono juhudi za chama na Serikali,..

Bila Shaka serikali ya CCM Ndio imekupeleka kote huko,.. Wengine hatukupata nafasi kama hizo

Bakia hapo uangalie vipi Watanzania wanavyo vyanyaswa Kwasababu wana mtazamo tafauti wa vipi Tanzania iongozwe

Mimi napenda Uhuru wangu napenda Uhuru wa wenzangu vile vile..

Naamini kuwa mchango wa wengi ni mtaji wa Taifa letu, naamini kuwa mvutano wa Wanasiasa wenye kutafautiana ki Sera ni mtaji kwa Mwananchi

Dunia inakimbia mwendo wa super sonic nataka nami niwe katika Safari,sitaki niachwe nyuma..

Free Mazurui
 
Hapa TZ ni pazuri mno huko ulaya ubaguzi uko wazi mno. TZ bado utu upo sana kuliko kwa wazungu. Watu weupe wanabagua sana weusi.
 
Kweli Mkuu, Wazungu wanabagua Wageni, Sisi tunauana Wenyewe kwa Wenyewe, Kwasababu tunatafautiana kisiasa

Nchi za Wazungu Sheria zina nguvu, Sheria msumeno,..

Si unajua yaliyomkuta Trump,aliekuwa Jemedari Mkuu wa Marekani?

huwezi kufananisha Nchi za Wazungu na Nchi kama Tanzania hata siku moja..
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie?

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
Pumba
 
Tundu Lissu alipigwa risasi eneo la ulinzi wa serikali. Acha tujiokoe mapema maana hata tukiuawa hakuna chochote kitakacho fanyika. Tunaenda nchi za watu na ikiwezekana tutaanzisha harakati huko huko. Yaliyotokea miaka mitano iliyopita yanatosha kuelezea kama tubaki au tukimbie.
Alipigwa risasi za karanga !!!!!! Acha waondoke wanawakimbia wananchi ambao wamewakataa pumbavuu,,, Tanzania kwanza siyo kukuwadia NATURAL RESOURCES ZETU KWA MAGAIDI na itakuja kuwagharimu kurudi,,, Serikali haidili na wapuuzi na dawa ya wapuuzi ni kuwapuuza na inauma sana kuliko kipigo physical
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie?

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.

Wala huna maneno yoyote kwa Magu na genge lake? Kwanini hujiulizi watu wanakimbia sasa na haikuwa huko nyuma? Wala kwa nini matukio ya moto yamekuwa sasa si huko nyuma?

Si kuwa haya ni majibu ya ukandamizaji unaowazuia kinyama (brutally) watu kulalamika hata kwa amani wanapoona haki zao zinaporwa waziwazi?
 
Kuna Jambo zito linatengenezwa na hawa waliokuwa wanajinasibu wapinzani haswa wa Vyama vya CHADEMA na ACT WAZALENDO.

Kitendo cha wao kuanza kukimbilia nje ya Nchi ama kwenye Balozi zilizopo hapa Nchini sio cha kukalia kimya hata kidogo najiuliza wanakimbilia Nini??na kwanini Sasa? Nani kawatisha ama kuwafukuza? Sisi ni Taifa huru tena lenye demokrasia haswa sio mara ya Kwanza Nchi yetu kuingia kwenye Vyama vingi na wala sio mara ya Kwanza wapinzani kushindwa kwanini wakimbie?

Lakini haya yametokea baada ya kushindwa kwao kwenye Uchaguzi mkuu na pia kushindwa kuungwa mkono Maandamano yasiyo na tija hivyo wengi wao wanaenda Nchini Kenya baadaye Somalia kujiunga na vikundi vya kigaidi ama kujifunza ugaidi mmoja wao ni GODBLESS LEMA ambaye file lake la nyuma linasoma ni Mwizi aliyekubuhu na jambazi sugu na pia ni Gaidi mdogo aliyekuwa anachoma ofisi za Chama cha Mbowe .

Na pia Lazaro Nyalandu ni mwana mkakati aneyetumiwa na mabeberu kutafuta Vijana wa kujiunga na vikundi vya kigaidi ili kuanza kulipa kisasi Kwa kile wanachoamini ni kudhulumiwa ushindi wao.

Aidha inaelezwa kwamba Vijana haswa waliokuwa Walinzi binafsi wa wagombea wa CHADEMA wanashawishiwa kujiunga na Al shabaab ili ikifika wakati wa Uchaguzi mwingine warudi kufanya fujo haswa kuuwa na kuharibu Mali za wananchi watiifu wa serikali.

Hivyo ushauri ni kuanza kuwabaini Wote wenye Nia ovu haswa anayejifanya Kondoo Freeman Aikael Mbowe.
Kuna umuhimu wakuzuia simu kutumika na watoto wa shule za sekondari.Dogo zingatia kwanza shule kwani ndio kitu pekee kitakachokusaidia kesho uandike hoja za msingi.
 
Back
Top Bottom