Huyu tatizo lake ni kiblog chake kunyimwa tuzo, kwanza mtu hana heshima kwenye jamii yaani amekaa kihuni huni wakati baba yake ana heshima kubwa kwenye jamii. Anapiga picha hovyo hovyo na vibinti vidogo utadhani anatokea kwenye familia ya kihuni
Nilijua utakimbia.
Mzee wa akili kubwa nmekuelewa sana na tanzania tunahitaji vijan kama ww wenye kukemea mambo yanapokwenda ndivyo sivyo...ubatikiwe sana basata washakuelewa
- hahahaha nikikimbia wewe utakuwa umekufa hahahahaha nipo hapa ukiona nimeaznisha thread ujue nina facts and evidence!! hahaha huwa sikurupuki!!
Le Mutuz
cjui amekula maharage ya wap huyu
- Reasoning za Diamond na Ali Kiba on what aibu hata kusema, mtu na akili zako timamu unaweza kusema Diamond ana mshindani Tanzania nani huyo? hebu tuliza kelele wewe
Le Mutuz
Mbona ulikurupuka kugombea ubunge ukashidwa.
kwa vile alipiga picha na watoto wako ndo unamuona mkali sana!!!!!!hivi unaweza ukaishi new york miaka mingi halafu ukawa bado ni babu shamba...
Nina miezi sita sijaingia blog yako,hauna ubunifu yaani blog yako imejaa copy and paste haina mpangilio mzuri yaani blog mbaya kama ya mbutananga,kuwa mbunifu.Blog ya milard ayo lazima kila siku niingie,na blog ya Mange u turn blog zina mipangilio mizuri ,blog yako ni shaghala bagala tu- Labda kama wewe umeshachaguliwa kuwa mbunge hahahahaah sikuenda kupiga picha nilialikwa kuhudhuria Tunzo kama picha nenda kwenye my blog zipo kibao na mabebezz halafu mbona hujamtaja baby niliyekuja naye? hahahahahahaha
Le Mutuz
Sasa tutapataje mshindi tusipotumia kura miss Tanzania tulitumia majaji wakaweka mtu wao yapo alitumia lugha tofauti kujibia maswali Leo tuzo za watu wametumia kura wananchi waamue unapinga sasa unataka nini kifanyike kama kura zimesimamiwa na kampuni mzuri aiwezi kujikosesha heshima Kwa kufanya ujinga Wa kuiba kura au kuongeza kura na bahati mzuri kura zimepigwa mfumo Wa digital ukitaka unaonyeshwa wewe una mapenzi na diamond ndo tatizo- Ali Kiba hajafikia status ya Diamond never hata huko zamani hakufikia na hatakuja kufikia, kura za siasa zimetushinda leo zikatumike kwenye sanaa hahahahahaha na wewe unatetea uozo kwa sababu ya chuki tu hujui kwamba kilichoharibiwa ni process sio jina la mtu pole sana!!
Le Mutuz
we babu umezidi sasa kujipendekeza..diamond ni sawa na mjukuu wako unajua!!!!- So unamaana Mwanza majuzi alipiga picha na watoto wao kwanza ndio maana wakampokea vile? hahahahahahahaha
Le Mutuz
Sasa tutapataje mshindi tusipotumia kura miss Tanzania tulitumia majaji wakaweka mtu wao yapo alitumia lugha tofauti kujibia maswali Leo tuzo za watu wametumia kura wananchi waamue unapinga sasa unataka nini kifanyike kama kura zimesimamiwa na kampuni mzuri aiwezi kujikosesha heshima Kwa kufanya ujinga Wa kuiba kura au kuongeza kura na bahati mzuri kura zimepigwa mfumo Wa digital ukitaka unaonyeshwa wewe una mapenzi na diamond ndo tatizo
we babu umezidi sasa kujipendekeza..diamond ni sawa na mjukuu wako unajua!!!!
Nina miezi sita sijaingia blog yako,hauna ubunifu yaani blog yako imejaa copy and paste haina mpangilio mzuri yaani blog mbaya kama ya mbutananga,kuwa mbunifu.Blog ya milard ayo lazima kila siku niingie,na blog ya Mange u turn blog zina mipangilio mizuri ,blog yako ni shaghala bagala tu