Serikali itoe elimu ya kozi za ufundi online

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,475
Reaction score
33,038
Helllo JF....

Nilikuwa na wazo...

Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi...

Ziwe free ku tackle shida ya ajira...

Nimeona course kama Graphic designs, Photography na Film making zinaweza kufundishwa online..

Im sure kuna course nyingi tu za ufundi zainazoweza kutolewa....

Lugha iwe KIswahili kwa ajili ya uelewa na pia kutarget watu wengi zaidi...

Somo la kingereza pia liwepo as free subject anayependa asome...

JF what do you think?
 
Ili na wabunge wa kusoma na kuandika,wawe pia na ujuzi
 
Ni wazo zuri, ila ufundi unahitaji vitendo zaidi, na vitendo vinatakiwa vifanyike maeneo ya kazi/ karakana.​
si kweli, labda kwa baadhi ya courses kozi nyingine zinafundishwa entirely online, wazo lako ni zuri maybe inahitajika research zaidi mafunzo gani yanaweza kufundishwa online.
 
Inatakiwa kozi igawanyike, mafunzo ya 'online' yawe ni kwa ajili ya kujenga uelewa na mafunzo ya vitendo ukiwa eneo la vitendo.​
 
Kuna kozi mkuu najua huamini zinafundishwa online entirely kama coding, cyber security etc ni wewe na kifaa chako tu...hata kupamba keki kwa wanawake...
Kwa fani ya ufundi, yale yanakuwa ni maelekezo tu; ingawa ukiyafuata utatengeneza kitu kilichokusudiwa.

Mfano, natoa fani ya kupika ugali, nitakuelekeza hivi:-washa moto, tenga sufuria yenye maji yenye unga; koroga hayo maji na huo unga ili uwe uji; uji ukishachemka, ongeza unga uanze kusonga ugali.

Na ukiyafuata hayo maelekezo, utapata ugali.

Katika ufundi, ili uweze kufanya kazi bila kuwa na shaka, itakulazimu wewe ubebe uhusika kwa vitendo n.k na hii itakufanya ujuzi ubaki kichwani mwako na uweze kutenda kwa ufanisi, kuliko ile ya kusikiliza maelekezo na kwenda kujifanyia wewe mwenyewe.​
 
Kama kushona cherehani au fundi saa!
 
Helllo JF....

Nilikuwa na wazo...

Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi...

Ziwe free ku tackle shida ya ajira...

Nimeona course kama Graphic designs, Photography na Film making zinaweza kufundishwa online..

Im sure kuna course nyingi tu za ufundi zainazoweza kutolewa....

Lugha iwe KIswahili kwa ajili ya uelewa na pia kutarget watu wengi zaidi...

Somo la kingereza pia liwepo as free subject anayependa asome...

JF what do you think?
Sasa hii si iwe fursa kwa individual (accredited ) trainers, yote yakafanywe na serikali kweli!!
Ila mimi nakutana na matangazo mengi ya online training kuhusu course mbalimbali.
 
MKuu bwana sasa sijui tunabishana nini....kwenye ufundi unapewa malelekezo na ticha na unafanya darasani, tofauti hapa unapewa maelekezo kwenye compyuta na uinafanya mwenyewe.....it is the same thing...chukulia kupamba keki...kompyuta inakuambia kwanza chukua unga chekecha je hapa kuna tofauti gani ukiwa darasani mwalimu anapokuambia chukua unga sasa chekecha????? labda useme wewe courses gani za ufundi haziwezi kufundishwa online na serikaliianzie hapo kufanya utafiti?
 
Helllo JF....

Nilikuwa na wazo...

Tanzania (serikali) iwe na mtandao unaotoa distant couurses za ufundi...

Ziwe free ku tackle shida ya ajira...

Nimeona course kama Graphic designs, Photography na Film making zinaweza kufundishwa online..

Binafsi sioni kama kuna upungufu wa maarifa hayo Online.

Kila kitu kipo, na serikali haiwezi kutoa jambo jipya hapo.
Im sure kuna course nyingi tu za ufundi zainazoweza kutolewa....

Lugha iwe KIswahili kwa ajili ya uelewa na pia kutarget watu wengi zaidi...

Somo la kingereza pia liwepo as free subject anayependa asome...

JF what do you think?
Kozi za ufundi naona kwa sasa serikali inatoa ufadhili wa kuzisoma bure bure kabisa.

Uwe na sehemu ya kuishi tu.

Ni utayari tu wa watu.
 
Sasa hii si iwe fursa kwa individual (accredited ) trainers, yote yakafanywe na serikali kweli!!
Ila mimi nakutana na matangazo mengi ya online training kuhusu course mbalimbali.
i believe serikali ikichukua hili kama jukumu lake itakuwa na wider impact...sio kama sasa hivi
 
Binafsi sioni kama kuna upungufu wa maarifa hayo Online.

Kila kitu kipo, na serikali haiwezi kutoa jambo jipya hapo.

Kozi za ufundi naona kwa sasa serikali inatoa ufadhili wa kuzisoma bure bure kabisa.

Uwe na sehemu ya kuishi tu.

Ni utayari tu wa watu.
Serikali inatoa ufadhili wapi mkuu...??? nina rafiki yangu nataka akasome ukarani na kompyuta lol
 
Back
Top Bottom