MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,393
- 10,591
90% ya maambukizi ya ukimwi inatokana na kufanya ngono., tena ngono zembe.
Sasa ili watu waache kale kamchezo katamu, nashauri serikali isinunue hizo ARVs kama inavyofanya sasa, maana watu hawaachi ngono zembe kwa kuwa ARVs watapewa BURE.
Hivyo nashauri tusipoteze fedha zetu za maendeleo kuhudumia watu wanao fanya ngono zembe, ili likimkuta ajue dawa za bure hakuna.
Nafikiri hii itasaidia kufanya Watanzania waache zinaa, mtu unajuwa ukipata ngoma basi unapoteza maisha.
*** HII INAFANANA NA YA WANAFUNZI WANAOPATA UJAUZITO. Shangilieni na hili kama kweli nyinyi ni wazalendo***
Ni hayo tu waungwana.
Hili swala la watoto wa kike kuacha kusomeshwa na serikali limekuja baada ya serikali kufirisika kwa inapunguza matumizi ya serikali, na kama madawa wamarekani wangekuwa wanatoa pesa ili serikali ikanunue basi angesitisha ununuzi wa dawa ila Marekani yeye akiahidi msaada kwenye analeta dawa badala ya pesa ya kununulia dawa