Serikali isipoteze pesa kununua dawa za kupunguza makali ya UKIMWI

90% ya maambukizi ya ukimwi inatokana na kufanya ngono., tena ngono zembe.
Sasa ili watu waache kale kamchezo katamu, nashauri serikali isinunue hizo ARVs kama inavyofanya sasa, maana watu hawaachi ngono zembe kwa kuwa ARVs watapewa BURE.
Hivyo nashauri tusipoteze fedha zetu za maendeleo kuhudumia watu wanao fanya ngono zembe, ili likimkuta ajue dawa za bure hakuna.
Nafikiri hii itasaidia kufanya Watanzania waache zinaa, mtu unajuwa ukipata ngoma basi unapoteza maisha.
*** HII INAFANANA NA YA WANAFUNZI WANAOPATA UJAUZITO. Shangilieni na hili kama kweli nyinyi ni wazalendo***
Ni hayo tu waungwana.

Hili swala la watoto wa kike kuacha kusomeshwa na serikali limekuja baada ya serikali kufirisika kwa inapunguza matumizi ya serikali, na kama madawa wamarekani wangekuwa wanatoa pesa ili serikali ikanunue basi angesitisha ununuzi wa dawa ila Marekani yeye akiahidi msaada kwenye analeta dawa badala ya pesa ya kununulia dawa
 
Nimekuelewa mleta maada. Moja ya sababu ya kutoa dawa za kufubaza VVU ni kupunguza maambukizi; na pia kumrudisha shule mwanafunzi aliyejifungua ni kuikomboa jamii na utegemezi.

TULIA SOMA MARAMBILI KABLA YA KU-COMMENT
90% ya maambukizi ya ukimwi inatokana na kufanya ngono., tena ngono zembe.
Sasa ili watu waache kale kamchezo katamu, nashauri serikali isinunue hizo ARVs kama inavyofanya sasa, maana watu hawaachi ngono zembe kwa kuwa ARVs watapewa BURE.
Hivyo nashauri tusipoteze fedha zetu za maendeleo kuhudumia watu wanao fanya ngono zembe, ili likimkuta ajue dawa za bure hakuna.
Nafikiri hii itasaidia kufanya Watanzania waache zinaa, mtu unajuwa ukipata ngoma basi unapoteza maisha.
*** HII INAFANANA NA YA WANAFUNZI WANAOPATA UJAUZITO. Shangilieni na hili kama kweli nyinyi ni wazalendo***
Ni hayo tu waungwana.
 
Mzee baba kama shida yako ubaki jf peke yako bila mimi sawa bwana.

On a serious note.
Nangoja nione kesi ikiwa mahakamani ikishindana kati ya katiba na neno la raisi alilolitamka jukwaani.
 
NGOs zipo zitanunua ARVs, huku kwetu tunabana matumizi.
 
Mzee baba kama shida yako ubaki jf peke yako bila mimi sawa bwana.

On a serious note.
Nangoja nione kesi ikiwa mahakamani ikishindana kati ya katiba na neno la raisi alilolitamka jukwaani.
Amini usiamini kesi ikienda mahamani serikali itashinda Rais amezuia wanaopata ujauzito wasiendelee kusoma shule za serikali hajazuia haki ya msingi ya kila mmoja kusoma na kujiendeleza kielimu hadi kiwango kitakachomfaa, JPM amefunga mlango mmoja mingine iko wazi, mtaka cha uvunguni_________________________________________
 
Vip waliozaliwa nao? Je walioupata wakiwatibia na kuwahudumia wagonjwa...? Vip waliopata baada ya kubakwa? Hawa nao ni uzembe..?

Tafakari tena upya mkuu!

Umejiuliza swali Hilo kwa mwanafunzi aliye bakwa kwa nini akose elimu?
 
Back
Top Bottom