Serikali isipoteze pesa kununua dawa za kupunguza makali ya UKIMWI

Mkuu kama ni hivyo tuangalie na upande wa hawa watoto. Sio wote wanapata mimba kwa kupenda, wengine wanabakwa, sasa kwa nini adhabu yao iwe kunyima kusoma? Mimba za utotoni ni matokeo matatizo makubwa ndani ya jamii yetu, sasa tunahangaika na matokeo kwa kuyatafutia majibu mepesi, bado hatujajua kiini cha tatizo.
Na huo msamaha unaousema kwa nini usiwe pia kwa hao watoto ambao uwezo wao wa kufikiri na.kufanya iamuzi bado ni mdogo?
Suala la mimba hilo mtafute uncle magu ndugu Mimi sihusiki kwa chochote... Ila binadamu tusiwe wepesi Wa kunyoosha vidole na kuhukumu ilhali nasisi pia yanaweza kutupata... Nikiwafikiria kiwango cha intelligence ya wahenga huwa nashindwa kupata majibu.. Kuna msemo mtoto akikunyea kiganjani huwezi kuukata mkono
 
TULIA SOMA MARAMBILI KABLA YA KU-COMMENT
90% ya maambukizi ya ukimwi inatokana na kufanya ngono., tena ngono zembe.
Sasa ili watu waache kale kamchezo katamu, nashauri serikali isinunue hizo ARVs kama inavyofanya sasa, maana watu hawaachi ngono zembe kwa kuwa ARVs watapewa BURE.
Hivyo nashauri tusipoteze fedha zetu za maendeleo kuhudumia watu wanao fanya ngono zembe, ili likimkuta ajue dawa za bure hakuna.
Nafikiri hii itasaidia kufanya Watanzania waache zinaa, mtu unajuwa ukipata ngoma basi unapoteza maisha.
*** HII INAFANANA NA YA WANAFUNZI WANAOPATA UJAUZITO. Shangilieni na hili kama kweli nyinyi ni wazalendo***
Ni hayo tu waungwana.
Ujafa hujaumbika,tema mate chini
 
UNGEPINA SAWA UJAPIA HATA KUJUA AFYA UNAPIGA KELEL MKUU.UNaweza ukawa mhusika..sioowote wanaopata kwangonozembe

Mkeo anaweza kuwamwaminifu saa ukauleta nyumbani je nayeye asipewe dawa kwa ujinga wako no. Wapo wanaopata kwaupitia sindano nao wateseke no...
 
Mwenye roho mbaya ni yule aliyezuia mabinti zetu wanaopata mimba kurudi shule.

Waruhusuni binti zenu kupata mimba kisha muwasomeshe shule za kulipia.Kazuwia nini? mnataka dezo kuhalalisha uovu? Mlipoambiwa pool kabla ya kazi mkatangaza hakuna ajira ila mnachagua chakula ilihali hamna cha kufanya kujipatia kipato.
 
Back
Top Bottom