Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,494
...Ndugu zangu, huu ujana usipokuwa nao makini, kuna mabalaa unayachuma kizembe sana. Miezi minne iliyopita niliangukia kwa binti mmoja jirani. She is cute, na mstaarabu kweli. Basi tukaplan kuanza sex! Mie c mtu wa mambo haya sana, so nilitaka tu kuupa mwili furaha.
Tulipofika eneo la tukio sikukumbuka kipimo wala mpira...tukapiga mechi saafi, 3 goals were ok, tena peku.
Baada ya wiki kadhaa tukarudia, mpaka mara nne.
TAHAMAKI
Siku moja akanistua kwa mcg kua kuna kitu anataka tuongee uso kwa uso, binafsi nikajua anataka show. Tukaplan tukakutana. Nilipojaribu kutaka ile pre-match akakataa kbs. Akaanza kulia na kuniambia kuwa Mama ake alimzaa akiwa na HIV so na yeye japo hajawahi kupima anahisi ana HIV. Asee ule mshituko niloupata, ni wa Ukanda wa Gaza. Nikamuuliza ka anatumia dawa, akakataa. Basi nikamlaumu weee, tukaachana nikiwa nimevurugwa. Kwa mstuko ule sikukumbuka kumpima ili kujua status yake pia!
Kupima sikutaka kabisa. Nikaanza kupata stress, mara homa, mara sijielewi. Nikapungua 3 kgs fasta. Nikaona haya mateso yataniua...
SIKU YA KUPIMA
Siku moja nikaamua kupima, maana before nilipima magonjwa mengine nikakuta nina Malaria, nikaitibu ikaisha, ikaja Typhoid nayo nikaitibu. Kuna zile stress, ukisikia mtu anataja tu UKIMWI asee unavurugwa. Nikaamua nipime niwe huru.
Nilienda hosp tena kwa vipimo advanced. Thanks God nikakuta nipo ok. Nilikaa like 3 months ndo nikapima. Ile miez 3 before asee niliteseka sana...
USHAURI
Guys UKIMWI ni hatari. Unakutesa kisaikolojia. Tunachukulia poa ila sio. Unawezasema unatumia Condom ila zile pre-match unakuta mnanyonyana mpk ute unameza. Siku hz kuna watu wananyonya mpk njia za haja kubwa....hapo hata ukivaa ndom trust me ni kazi bure. Tupime, tuache ngono zembe. Mapenzi matamu, lakini ukipata Ngoma inatesa sana saikolojia.
Kingine: NEVER GOOGLE YOUR SYMPTOMS. Nenda hosp, pima na chukua hatua. The early, the better.
Now I am ok na Nimeongeza discipline ktk maisha ya ujana!
Barikiwa