Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Kwa usalama wa Rais dodoma si pa kukaa moja kwa moja. Anatakiwa kuwa ana bip. Magogoni salama zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mkuu yawekanaje uiache familia yako ukaishi kwa marafikiKila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Unadhani yeye anajua kilakitu!!Aliposema anahamia Dodoma alikuwa anamaanisha nn?
Kati ya vitu vya maana alivyowahi kufanya Magufuli ni kuhamishia serikali Dodoma.. Hii imesaidia kupunguza idadi kubwa ya watu waliokuwa wanahamia Dar kwa kasi.. Angalau sasa Dar inapumua maana over population ilikuwa inainyemelea kwa kasi.
Hivi Dar ni mji nao wa kupiga tambo? Ukitoka kijijini lazima ushangae kila kitu ukifika Dar. Mji kama Lusaka tu upo mbali sana kuliko huo uchafu Dar es salaam! Watu wamerundikana kama mizigo kwenye hizo squatters, maisha gani hayo? Mji gani huo? MTU anayeona Dar ni jiji LA kusifiaaa hana exposure.niliwaambia watu siku mingi MANGUFULI AKIHAMIA DOM NA MIMI NAHAMIA DOM, kaenda kule kachinja na mbuz sijui nini karudi daslama, wakuu ivi nyie mnafanya mchezo na daslama ? Kila siku anazunguka hapa town, 🤣🤣🤣🤣
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapa tunaongelea jiji la dar dhidi ya majiji mengine ya tz, Sasa unafanya ulinganifu na majiji mengine nje ya nchi?Hivi Dar ni mji nao wa kupiga tambo? Ukitoka kijijini lazima ushangae kila kitu ukifika Dar. Mji kama Lusaka tu upo mbali sana kuliko huo uchafu Dar es salaam! Watu wamerundikana kama mizigo kwenye hizo squatters, maisha gani hayo? Mji gani huo? MTU anayeona Dar ni jiji LA kusifiaaa hana exposure.
Kila siku mambo muhimu ya kiserikali yanafanyika Dar es Salaam, lakini tumeambiwa na kutangaziwa kuwa serikali na bwana mkubwa Rais wamehamia rasmi Dodoma.
Mawaziri wanaapishiwa Dar
Mabalozi wanaapishiwa Dar
Mabalozi wa kigeni wanawasilisha hati zao za viapo Dar
Rais muda wote yupo Dar
Mkataba wa Barrick a.k.a Acacia na Serikali/Twiga umesainiwa Ikulu Dar
Makamu wa Rais muda wote yupo Dar
Jaji Mkuu na viongozi wa vyombo vya usalama muda wote wapo Dar
Waziri Zungu karipoti Dar kwa ofisi ya Makamu wa Rais
Waziri Jafo naye yupo Dar
Mimi naomba kueleweshwa Dodoma wamehamia kina nani? Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Ni serikali ipi imehamia Dodoma?
Kuna nchi nyingi zenye pwani ya Bahari lkn Ikulu zao zipo bara. Mfano Kenya, Nigeria, Ivory Coast, South Africa etc. Bongo tu ndio kuna matishio?Nivigumu sana ikulu kuwa Dodoma. Magogoni ni rahc ku escape. Sasa kule kwa wagogo njia ni mbili2 anga na nchi kavu
system error occurred[emoji3544]