Serikali inavyowakomoa walimu

Serikali inavyowakomoa walimu

Binafsi nimeumia sana kwasababu ya kutopanda daraja kutokana na elimu yake lakini kuhusu nafasi yake katika kazi sijaona ubaya....
Hilo halina shida ila walipwe kwa mwezi 6M kama wakurugenzi.
 
Namashaka na huyo Mwl.,japo hilo Jambo laweza kuwa kweli,maana kuna Mwl.aliwahi tumikia daraja moja tgtc kwa miaka 11,ila huyo Mwl alichukua hatua gani?
 
Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake.....
Hv unafikiri Mwalimu anayetakiwa afundishe wanafunzi wa shule za msingi ni mwalimu ambaye hajasoma?

Eti serikali haitaki kutumia elimu yake kwani kazi anayofanya anatumia nini?

Akili za kijinga kabisa

Huku kwa watoto wadigo ndio kwwnye uhitaji was watu waliosoma sana.

Ndiko kwwnye msingi was kumjenga mtoto
 
Binafsi nimeumia sana kwasababu ya kutopanda daraja kutokana na elimu yake lakini kuhusu nafasi yake katika kazi sijaona ubaya...
Ndivyo inavyotakiwa.

Sasa malisa anadanganya watu eti anatakiwa awe ofisi fulani.
 
Walidanganywa eti kwakua jiwe na PM walikua waalimu basi ingekua awamu ya neema kwao ila imegeuka balaa! Mitano tena nasema uongo ndugu zangu?
 
Its ok lakini put yourself in position ya huyu mwalimu, Je, kwa elimu yake anastahili mshahara wa mwalimu wa grade III? Je, anastahili kufundisha primary?

Bora wangempandisha daraja kwa matumaini kwamba mshahara utapanda lakini hakuna hata kimoja walichomfanyia

Nadhani kikubwa katika hili ni kupata mshahara wa ngazi yake kielimu hii ni sawa na nipo upande wake kwa asilimia zote, na sio yeye tu kwenye tatizo hilo katika Tanzania hii.

Kwangu mimi nimekosoa kuona mtu anasema kuwa elimu yake sio kuwa nafasi ya elimu ya msingi?

Ndio maana nimetoa mfano wa nchi ya ujerumani, kuwa kuna walimu wana elimu kubwa zaidi ya waliyokuwa sekondari lakini wapo daraja la awali wanafundisha watoto, so kwangu mimi maslahi makubwa yasingekuwa na mambo kama haya.
 
Hilo halina shida ila walipwe kwa mwezi 6M kama wakurugenzi.

Ndio maana nasema serikali wameshindwa kutafakari katika hili, hivyo ndio maana watu wanarogana kutaka nafasi katika uongozi.

Mshahara ndio dawa ya haya yote, lakini serikali nayo ndio sikio la kufa
 
Hii habari sina uhakika kama ni ya kweli,mwalm ukijiendeleza kulingana na ngazi yako ya elimu unabadilishiwa muundo na yeye kama hajafanyiwa hivyo amechukua jukumu gani? haiwezekani mwalm aliemaliza zaidi ya miaka 10 alafu asijue anafanya nini lakini pia elimu yake ni kubwa hiyo kulingana na hapo alipo.

Leo hii sera ya elimu inasema mwalm mkuu anatakiwa kuanzia stashahada but yeye na masters asipewe hata ualim mkuu? Hapana kama hii haabari ni ya kweli huyo mwlm ana shida achunguzwe.
 
Hii habari sina uhakika kama ni ya kweli,mwalm ukijiendeleza kulingana na ngazi yako ya elimu unabadilishiwa muundo na yeye kama hajafanyiwa hivyo amechukua jukumu gani?, haiwezekani mwalm aliemaliza zaidi ya miaka 10 alafu asijue anafanya nini lakini pia elimu yake ni kubwa hiyo kulingana na hapo alipo.
Leo hii sera ya elimu inasema mwalm mkuu anatakiwa kuanzia stashahada but yeye na masters asipewe hata ualim mkuu? Hapana kama hii haabari ni ya kweli huyo mwlm ana shida achunguzwe.

Hapana!!! Wapo wengi wenye elimu kubwa na hawana ukuu katika shule hii kutokana nafasi hii watu wanaopendekeza ni afisa elimu wa sehemu husika so yaweza kuwa wapo wengi wenye elimu kama yake!! Nadhani kikubwa ni yeye kutopanda ngazi ya mshahara kutokana na elimu yake?

Na hili limetokana na serikali kutojua kuwa na mshahara mkubwa kungekata lawama hizi lakini katika nchi hakuna viongozi tuna mapupu ya ndani ya ng’ombe tu

Yani serikali ni sikio la kufa
 
Hapana!!! Wapo wengi wenye elimu kubwa na hawana ukuu katika shule hii kutokana nafasi hii watu wanaopendekeza ni afisa elimu wa sehemu husika so yaweza kuwa wapo wengi wenye elimu kama yake!! Nadhani kikubwa ni yeye kutopanda ngazi ya mshahara kutokana na elimu yake?...
Sasa kwanini hakufuatilia kubadilishiwa muundo kama sheria inavyosema? Kwanini akubali kuumuzwa namna hiyo hajui namna ya kushughulikia maslahi yake?
 
Hapana!!! Wapo wengi wenye elimu kubwa na hawana ukuu katika shule hii kutokana nafasi hii watu wanaopendekeza ni afisa elimu wa sehemu husika so yaweza kuwa wapo wengi wenye elimu kama yake!! Nadhani kikubwa ni yeye kutopanda ngazi ya mshahara kutokana na elimu yake?...
Hii issue Kama ni kweli ni bonge la kashfa, muundo ni haki ya mtumishi anapojiendeleza kielimu....
 
Sasa kwanini hakufuatilia kubadilishiwa muundo kama sheria inavyosema? Kwanini akubali kuumuzwa namna hiyo hajui namna ya kushughulikia maslahi yake?

Mimi katika hili niseme tu nina uhakika nalo katika wilaya nyingi tu maana kuna wengine wanapanda madaraja kwa mwaka!! Lakini pia inatengemea na afisa utumishi wa sehemu husika wanaweza kukwambia bado “hawajakubadilishia mshahara kutoka juu lakini sisi tumepeleka vielelezo vyako “

So kufatilia kulipaswa kufanyike kwa hali ya juu
 
Sasa kwanini hakufuatilia kubadilishiwa muundo kama sheria inavyosema? Kwanini akubali kuumuzwa namna hiyo hajui namna ya kushughulikia maslahi yake?
Ina maana ameshindwa hata kupeleka malalamiko yake kwa DED wake acha afisa elimu wake?
 
Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake....
Tatizo ni maofisa utumishi, tsc na afisa elimu wake. Hii mijitu haipendi kuona mtu kawazidi kielimu. Wanachofanya ni kumfrastrate hadi aache kazi. Huyo ni mfano mmoja tu.

Halimashauri zetu zimejaa mashetani yaani tena shetani ana unafuu anaweza kukuacha upumue. Hawa wamekuwa miiba tena mbigili kwenye haki za watumishi.

Serikali iweke mfumo rasmi wa watumishi kupeleka malalamiko yao I'll kuondoa huu ukiritimba wa kuwategemea hawa viwavi,!!!
 
Mbona wengi waliojiendeleza enzi za kikwete wapo wanafundisha kwenye vyuo vya kati na wengine n maafisa elimu wilaya wengine wakuu wa wilaya, wametolewa kwenye elimu
 
Back
Top Bottom