Serikali inamchekea Askofu Shoo

Serikali inamchekea Askofu Shoo

Na huo ndio ukweli wenyewe,sasa we unataka aseme ambavyo mnapenda nyie,au unataka nayeye asifie?
 
IKIRIRI, Tumia akili yako kwa usahihi, serikali inajichekea yenyewe, Shoo ni baada ya kuuona ujinga unaoendelea.
 
IKIRIRI,

Tafsiri ya neno “ uchochezi” kwa sasa linatumiwa kuuficha ukweli

Kwa andiko lako linathibitisha hujatumia ubongo kufikiri muwe mnasoma thread then kabla hajazipost mnachefua watu wenye uwezo wa kufikiri
 
Mtoa mada labda anafanya dhihaka (sarcasm) ila kama anamaanisha alichoandika, basi Tanzania tuna matatizo makubwa kuliko tunavyodhani
Hata haeleweki mtoa mada sijui analalamika!? Au sijui alichosema Askofu Shoo sio cha ukweli!!!!!???? watu wa Allah si yupo mwakilishi wao yule shehe wa mkoa wa Dar,huwa anawawakilisha vzr tu kwenye kila tukio Ikulu na ni rafki yake Bashite. Askofu wa watu kaongea ukweli nakatoa Rai kwa pande husika tatizo nn?
 
IKIRIRI,
Tatizo lako haujui vizuri lugha ya kiswahili, kiswahili unachokijua ni cha kuelewana tu na muuza chips.
 
Mbona CCM mnateseka sana nyie si mnajitapa Rais wenu kafanya mambo makubwa ambayo hayajawai kuonekana duniani basi waacheni wananchi waamue mnatesekea nn kuongea aongee mwingine wewe nafsi ikuume wapeni wananchi haki yao yakuamua acheni janja janja IKIRIRI,
 
Ukweli ubaki kama ulivyo kauli kama hizi za kichochezi zingetoka kwenye kinywa cha shehe,na mara yakafuatia matukio kama haya ya uharibifu wa mali za serikali (ofisi za kata zilizochomwa moto). Nadhani tuhuma za ugaidi kwake asingeziepuka. Na ingekuwa ameshatiwa nguvuni na amechakazwa kwa viwango vya kimataifa.

Ila pamoja na hayo yote nawapongeza mashehe kwa kufunga midomo yao juu ya watawala. Mafundisho sahihi ya dini yetu ni kuwatii watawala endapo hawatatuamrisha maovu. Madhara ya kupayuka dhidi ya watawala yanarudi kwa waislamu wote,tunapewa majina mabaya ili kutujengea uhalali wa kupigwa.
 
Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.

Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.

Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.

“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”

“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.

Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
Omba tenda serikalini ili ukamwangamize Pambafffffff kabisa!
 
Ukweli ubaki kama ulivyo kauli kama hizi za kichochezi zingetoka kwenye kinywa cha shehe,na mara yakafuatia matukio kama haya ya uharibifu wa mali za serikali (ofisi za kata zilizochomwa moto). Nadhani tuhuma za ugaidi kwake asingeziepuka. Na ingekuwa ameshatiwa nguvuni na amechakazwa kwa viwango vya kimataifa.
Ila pamoja na hayo yote nawapongeza mashehe kwa kufunga midomo yao juu ya watawala. Mafundisho sahihi ya dini yetu ni kuwatii watawala endapo hawatatuamrisha maovu. Madhara ya kupayuka dhidi ya watawala yanarudi kwa waislamu wote,tunapewa majina mabaya ili kutujengea uhalali wa kupigwa.
Neno USIPO na UNAWEZA ni maneno yayayotumika pasipokuwepo tukio, hayamshutumu mtu yeyote kwamba ametenda, ni maneno yaliyotumika kutahadharisha. Jifunzeni kiswahili cha darasani siyo cha mitaani cha UNANIDAI BEI GANI badala ya KIASI GANI.
Watanzania kiswahili shida, kiingereza shida hats lugha za vijijini kwetu shida pia, tupotupo tu.
 
Kauli ya kichochezi au kasema ukweli wa hali halisi ilivyo? Ukiwa wakojoa usaa tena baada ya kuzibua tundu na toothpick.. na daktari akakwambia unakukuzushia na yapaswa uende na mkeo? .. utamtuhumu daktari kwa kukutusi na kutaka kukuvunjia ndoa yako?
Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.

Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.

Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.

“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”

“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.

Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
 
Mhimili hauwezi kujitutumua mbele ya dini ya warumi.
 
Askofu yupo sahihi wala hajakosea popote tatizo lako wewe mleta mada ndio unatafuta umbea na uchochezi unataka kuanza wewe. wenzio wamefundishwa kusema ukweli hawajigongi wala hakuna kujipendekeza kwa mtu yeyote yule kumbuka Mungu yupo na adhabu ya mnafiki kama wewe ipo inakusubiri. kama hujazaliwa kusema ukweli basi nyamaza waache walioitwa na Mungu wasimame katika kweli.
 
Wewe ulie andika ndie mgonjwa wa akili sasa uvunjifu wa amani uko wapi hapo weww ndie mchochezi.

Back
Top Bottom