Serikali inamchekea Askofu Shoo

Serikali inamchekea Askofu Shoo

Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.

Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.

Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.

“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”

“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.

Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
Umemaliza kuongea?
 
Matatizo tuliyo nayo watanzania yapo ubongo wetu,haiwezekani mtoa mada aandike ujinga kama huo halafu achekewe,ni bora kuishi na nyani porini kuliko na binadamu dizaini hiyo.watanzania tunamakwazo hatari du
 
Ikiriri una matatizo ya akili uccm na udini umekujaa, ameleta fujo ipi kwa mfano. Ni tahadhari na amesema vizuri tu?
Huoni dalili za fujo? Huoni haki inavunjwa? Mjinga kama wewe ndiyo wale mnauana kwautofauti wa kuweka mikono tumboni wengine wakisema mikono kifuani.
 
Mtoa mada labda anafanya dhihaka (sarcasm) ila kama anamaanisha alichoandika, basi Tanzania tuna matatizo makubwa kuliko tunavyodhani
Watu wasitoe maoni yao, Tz tuna matatizo makubwa, ni nyinyi mnodhani watu wote wanapaswa kuwaza kama nyinyi ndio wenye matatizo, usijumlishe taifa.
 
Mungu nisaidie nisimtukane mtoa mada *****
Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.

Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.

Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.

“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”

“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.

Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
 
Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.

Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.

Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.

“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”

“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.

Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
We kibwengu unawaza kuua watu tu pumbavu
 
[
hsdvdhrfvcvfchdv chhcfgrysifhfjdkfrhyf>
 
Watu wasitoe maoni yao, Tz tuna matatizo makubwa, ni nyinyi mnodhani watu wote wanapaswa kuwaza kama nyinyi ndio wenye matatizo, usijumlishe taifa.
anayezuia mwingine asitoe maoni yake si mtoa mada? yaani askofu akitoa maoni serikali imkamate?
 
Inaonekana unafikiria kutumia tumbo. Umeona barua waliyoandika baraza la maaskofu wa kanisa katoliki nchini Uganda wakikemea vitendo katili vya serikali dhidi ya raia wake?

Ile barua imeandikwa kwa lugha ya malkia ni ngumu Meko, Bashite kuelewa mpk wamwite yule mkuu wa insta aliyekuwa mmbeba mabox huko Marekani............... vinginevyo hawataelewa chochote
 
Unamaanisha masheikh au mashehena? Sheikh anaamliwa atii mamlaka na wala c mtu wa siasa ikiwa kiongozi hamzuii kufanya ibada, ushehe sio uanaharakati kazi hizo ni za makhaawarij kama isis, boko haram etc
Anaamliwa=Anaariwa..
 
Ile barua imeandikwa kwa lugha ya malkia ni ngumu Meko, Bashite kuelewa mpk wamwite yule mkuu wa insta aliyekuwa mmbeba mabox huko Marekani............... vinginevyo hawataelewa chochote
Aisee.
 
Kiongozi wa dini ni mtu muhimu sana katika kuleta amani ya nchi. Nimesoma kupitia mitandao ambapo taarifa inasema:

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri (KKKT), Askofu Fredrick Shoo amesema mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa usipotendeka kwa haki unaweza kusababisha fujo.

Kauli ya Shoo imekuja wakati serikali ikitangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa huku wapinzani wakitangaza kujiondoa kwa kile wanachodai kutotendewa haki.

Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini amesema kuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi huo anayo dhamana ya kuhakikisha uwepo wa ushindani sawa.

“Msimamizi mkuu wa uchaguzi anayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kunakuwa na `fair play’ (usawa) kwa vyama vyote bila upendeleo.”

“Zoezi hili lisipofanyika kwa haki linaweza kusababisha fujo na uvunjifu wa amani. Wito wangu kwake na wasimamizi wengine wote wasimamie haki,” alisema Askofu Shoo.

Sasa kauli kama hizi ni za kichochezi sana mbona masheikh wametulia.
Askofu siasa zinamuhusu nini?
Tukifanya hayo sisi wa Allah utasikia kelele nyingi.
sioni tatizo hapo,,,,baba askofu shoo yupo sahihi...
 
Una maanisha kuwa mashehe huwa hawasemi ukweli? Wanaacha mambo yavurugike tu maana wakisema watasababisha fujo?????OK... ndio sababu kule mashariki ya kati fujo haziishi basi kwa sababu ukweli hausemwi.
 
Back
Top Bottom