Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

Labda Wanapunguza msongamano ofisini kwasababu ya covid
 
Kuna ile interest inayopangwa na serikali kwenye bank na taasisi ndogo za mikopo, italeta impact zaidi
Ivi hili suala litaanza lini
Taasisi za mikopo zilizochanua kama uyoga hii reducing balance ikianza zitapotea
 
Ni kweli kabisa kuna bank kama BARCLAYS BANK ambayo sasa ni ABSA BANK walipunguza wafanyakazi wengine ikawashusha vyeo ikawanyima kuwalipa haki zao kwenye/retreachment wakapelekwa mahakamani mpaka leo mwaka wa sita wanang'ang'ania kesi mahakamani pamoja na kwamba walishindwa kesi....
bank kama hii inatakiwa wananchi wazikatae manake zipo kinyonyaji.....
hazina utu kabisa....
Tupo kwenye program ya kuhamasisha jamii kupitia mitandao ya kijamii wazikatae benki kama hizi kandamizaji kwa watumishi wake....
 
NBC wanazo ATM za kudeposit yaani dakika 4 umeshamaliza, Internet banking ipo crdb lakin naona bado Watanganyika hatujawa na mwamko wa kutumia
 
FINCA c wasahau mafao yangu na zile benefit zingine zote wakapeleka kwenye makato yang ya mkopo.....yan pesa zenyewe zilikuwa kiduchu.
 
Education hater bila shaka huna hata certificate
 
Mwanangu siku hizi unatema madini
 
nchi gani hiyo
 
Hao mafundi unao wasifia ushajiuliza,ushajiuliza haya magari ya siku hizi full computerized, mifumo mingi imebadilika wataweza kutengeneza.

Kwenye maswala ya Computer hamna utundu lazima ule shule hata short courses.
 
Hao mafundi unao wasifia ushajiuliza,ushajiuliza haya magari ya siku hizi full computerized, mifumo mingi imebadilika wataweza kutengeneza.

Kwenye maswala ya Computer hamna utundu lazima ule shule hata short courses.
Huwezi amini aisee, wale wakielekezwa mara moja imetoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…