Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

Kuna ile interest inayopangwa na serikali kwenye bank na taasisi ndogo za mikopo, italeta impact zaidi
Ivi hili suala litaanza lini
Taasisi za mikopo zilizochanua kama uyoga hii reducing balance ikianza zitapotea
 
Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa?walianza Access..Finca..na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali.kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine kubambikiziwa makosa...Waziri wa kazi upo wapi?
Ni kweli kabisa kuna bank kama BARCLAYS BANK ambayo sasa ni ABSA BANK walipunguza wafanyakazi wengine ikawashusha vyeo ikawanyima kuwalipa haki zao kwenye/retreachment wakapelekwa mahakamani mpaka leo mwaka wa sita wanang'ang'ania kesi mahakamani pamoja na kwamba walishindwa kesi....
bank kama hii inatakiwa wananchi wazikatae manake zipo kinyonyaji.....
hazina utu kabisa....
Tupo kwenye program ya kuhamasisha jamii kupitia mitandao ya kijamii wazikatae benki kama hizi kandamizaji kwa watumishi wake....
 
Nafikiri techolojia nayo itasababisha benki wahitaji wafanyakazi wachache, nilipokuwa majuu kuna branch unakuta ina mtu mmoja tu kwa ajili ya shughuli za customer service. Ukitaka kutoa, kuweka pesa, kuhamisha, kufanya malipo wanatumia ATM machine au internet banking. Sijajua kwa nini internet banking bado haijafika bongo, lakini akaunti yangu niliyokuwa natumia nje nilikuwa naweza kuingia, kutazama salio, kuhamisha pesa yaani sikuwahi kabisa kurudi ndani ya benki baada ya kufungua....kuna siku niliingia branch kuweka pesa wakanirudisha kwenye ATM wakanielekeza namna ya ku- deposit kwa kutumia ATM...
NBC wanazo ATM za kudeposit yaani dakika 4 umeshamaliza, Internet banking ipo crdb lakin naona bado Watanganyika hatujawa na mwamko wa kutumia
 
FINCA c wasahau mafao yangu na zile benefit zingine zote wakapeleka kwenye makato yang ya mkopo.....yan pesa zenyewe zilikuwa kiduchu.
 
Aisee
Ila kuna kitu kila nikikiangalia kinanipa utata juu ya hatima ya elimu yetu. Mfano mafundi wengi wazuri wa magari mtaani hawajatoka VETA wala DIT na Tech nyingine bali wote ni 'darasa la 7' na wako vizuri sana.
Sasa wale wenye degrees na diploma za banking wengine hata kutoka nje ya nchi wakiwa wanajiandaa kulinga na mashati yao ya blue na meupe mara paap ...unakutana na mawakala ambao wanaserve bank zote kwa level ileile, tena cha zaidi wao wanakuwa wazi saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku tofauti na banki ambazo zinafunguliwa saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni. Uliza walisomea wapi sasa ndio utajua tulipo palivyo pagumu
Education hater bila shaka huna hata certificate
 
Ni kweli kabisa kuna bank kama BARCLAYS BANK ambayo sasa ni ABSA BANK walipunguza wafanyakazi wengine ikawashusha vyeo ikawanyima kuwalipa haki zao kwenye/retreachment wakapelekwa mahakamani mpaka leo mwaka wa sita wanang'ang'ania kesi mahakamani pamoja na kwamba walishindwa kesi....
bank kama hii inatakiwa wananchi wazikatae manake zipo kinyonyaji.....
hazina utu kabisa....
Tupo kwenye program ya kuhamasisha jamii kupitia mitandao ya kijamii wazikatae benki kama hizi kandamizaji kwa watumishi wake....
Mwanangu siku hizi unatema madini
 
Nafikiri techolojia nayo itasababisha benki wahitaji wafanyakazi wachache, nilipokuwa majuu kuna branch unakuta ina mtu mmoja tu kwa ajili ya shughuli za customer service. Ukitaka kutoa, kuweka pesa, kuhamisha, kufanya malipo wanatumia ATM machine au internet banking. Sijajua kwa nini internet banking bado haijafika bongo, lakini akaunti yangu niliyokuwa natumia nje nilikuwa naweza kuingia, kutazama salio, kuhamisha pesa yaani sikuwahi kabisa kurudi ndani ya benki baada ya kufungua....kuna siku niliingia branch kuweka pesa wakanirudisha kwenye ATM wakanielekeza namna ya ku- deposit kwa kutumia ATM...
nchi gani hiyo
 
Aisee
Ila kuna kitu kila nikikiangalia kinanipa utata juu ya hatima ya elimu yetu. Mfano mafundi wengi wazuri wa magari mtaani hawajatoka VETA wala DIT na Tech nyingine bali wote ni 'darasa la 7' na wako vizuri sana.
Sasa wale wenye degrees na diploma za banking wengine hata kutoka nje ya nchi wakiwa wanajiandaa kulinga na mashati yao ya blue na meupe mara paap ...unakutana na mawakala ambao wanaserve bank zote kwa level ileile, tena cha zaidi wao wanakuwa wazi saa 12 asubuhi hadi saa 4 usiku tofauti na banki ambazo zinafunguliwa saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni. Uliza walisomea wapi sasa ndio utajua tulipo palivyo pagumu
Hao mafundi unao wasifia ushajiuliza,ushajiuliza haya magari ya siku hizi full computerized, mifumo mingi imebadilika wataweza kutengeneza.

Kwenye maswala ya Computer hamna utundu lazima ule shule hata short courses.
 
Huwezi amini aisee, wale wakielekezwa mara moja imetoka.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom