Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Sasa kama ipo kwanini iuzwe Bei ya juu?
Itakuwa upuuzi kununua kitu kilichopo kwa wingi kununua kwa bei ya juu. Ukiona kitu kinauzwa bei ya juu tambua kuna uhaba tuache blah blah kwenye maisha ya watuMkurugenzi wa bodi ya sukari Prof. Kenneth Bengesi amesema serikali ina sukari ya kutosha, na serikali imeshagiza tani 40,000 imeshaingia nchini na imeanza kupakuliwa tangu Aprili 15 bandarini
Pia amewataka wafanya biashara kufuata bei elekezi, na wale watakaokiuka wakigundulika watafutiwa leseni za kuendesha biashara
Amesema serikali haiko tayari kuona watu wake wanapata shida kwa tatizo ambal limetengenezwa na wafanyabiashara. Zaidi ya tani 10000 zitaingia mtaani kuanzia Aprili 17
Sukari ilikwisha haikuagizwa mapema wenyewe mmethibitisha imeingia tarehe 15/04, itakuwa uzembe ulifanyika kwani tangu malalamiko ya kupanda bei yalipoanza hatukuweza kupata maelezo haya.Mkurugenzi wa bodi ya sukari Prof. Kenneth Bengesi amesema serikali ina sukari ya kutosha, na serikali imeshagiza tani 40,000 imeshaingia nchini na imeanza kupakuliwa tangu Aprili 15 bandarini
Pia amewataka wafanya biashara kufuata bei elekezi, na wale watakaokiuka wakigundulika watafutiwa leseni za kuendesha biashara
Amesema serikali haiko tayari kuona watu wake wanapata shida kwa tatizo ambal limetengenezwa na wafanyabiashara. Zaidi ya tani 10000 zitaingia mtaani kuanzia Aprili 17
Njia ya muongo ni fupi,Waulize hao Serikali kama sukari wanayo,wakuonyeshe ghala walikohifadhi hiyo sukari yao.Watutolee porojo zao hapo kg1 ishafika 4000 daisalama hii jee huko pembezoni si ndio balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Awamu ya tano iliingia sukari ikiwa chini ya Shs 2,000 Kama kawaida, imepiga hatua kubwa sana. Sasa ni Shs 4,500.Mkurugenzi wa bodi ya sukari Prof. Kenneth Bengesi amesema serikali ina sukari ya kutosha, na serikali imeshagiza tani 40,000 imeshaingia nchini na imeanza kupakuliwa tangu Aprili 15 bandarini
Pia amewataka wafanya biashara kufuata bei elekezi, na wale watakaokiuka wakigundulika watafutiwa leseni za kuendesha biashara
Amesema serikali haiko tayari kuona watu wake wanapata shida kwa tatizo ambal limetengenezwa na wafanyabiashara. Zaidi ya tani 10000 zitaingia mtaani kuanzia Aprili 17
Kuna waziri sijui anaitwa naniMkurugenzi wa bodi ya sukari Prof. Kenneth Bengesi amesema serikali ina sukari ya kutosha, na serikali imeshagiza tani 40,000 imeshaingia nchini na imeanza kupakuliwa tangu Aprili 15 bandarini