Serikali ya Zanzibar yapunguza bei ya Sukari kwaajili ya Mfungo wa Ramadhani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
WAKATI waumini wa dini ya kiislamu wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi wa Ramadhani, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza bei elekezi ya sukari ili kuwapunguzia gharama wananchi.

Akitoa taarifa hiyo wilayani Mjini Unguja, Waziri wa Wizara Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaaban ametaja bei ni Sh. 2,650 kwa kilo moja kwa upande wa Unguja na Sh. 2,700 kwa kilo kwa upande wa Pemba.

Amesema hatua hiyo imekuja kufuatia agizo la Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi alilolitoa hivi karibuni katika ziara yake ya kutembelea wafanyabiashara na kusikiliza changamoto zao.
 
Hata Bashe alisema sukari itapungua bei ramadhan ns siyo kwaresma. Fatumà akaja juu kupinga sasa kumbe kweli.
 
WAKATI waumini wa dini ya kiislamu wanatarajia kuanza mfungo wa mwezi wa Ramadhani, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza bei elekezi ya sukari ili kuwapunguzia gharama wananchi.

Akitoa taarifa hiyo wilayani Mjini Unguja, Waziri wa Wizara Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Omar Said Shaaban ametaja bei ni Sh. 2,650 kwa kilo moja kwa upande wa Unguja na Sh. 2,700 kwa kilo kwa upande wa Pemba.

Amesema hatua hiyo imekuja kufuatia agizo la Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi alilolitoa hivi karibuni katika ziara yake ya kutembelea wafanyabiashara na kusikiliza changamoto zao.
Ni hasara kubwa sana mwanadamu kufunga, kukaa njaa, kwa mungu asiyeokoa, unafunga kwa ajili ya dini, sio kwa ajili ya Mungu wa kweli. ni hasara kubwa sana, a wastage of time and humanity.
 
Kwaresima inasema ufungapo nawa uso (piga mswaki) usipige panda, paka mafuta kichwani na baba yako aliye sirini atakujazi, na sio kununa ili kila mtu ajue umefunga hapana.
iwe kwaresma iwe nini, kufunga kwa ajili ya dini ni kupoteza muda tu. Okokeni ili mumtafute Mungu kwa mujibu wa Neno la Mungu, muziokoe roho zenu na mauti ya milele. pamoja na kwamba mmekuwa waaminifu sana wa dini zenu, deep in your hearts mnahakikishiwa kabisa kwamba hamna Mungu, ila mnaamini dini itawatoe.
 
Hili nalo we unapigia debe dini bila kujuwa unacho kikataza fikiri vizuri ndio utoe maoni au kaa kimya soma pita hivi
 
Huu msimu wa Kula vizuri watu wananenepa sana pindi kama hizi...
Unaweza Kula vyakula 15 vya tofauti tofauti kila siku
 
Back
Top Bottom