Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? kwamba ndio tuanze kutumia miatano kama sarafu ndogo kuliko? na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
mods naomba mnirekebishie hapo'SARAFU'
 
Hapo sasa sijui, lakini inawezekana pia ikawa ni mpango wa serikali kwamba mia tano ndo iwe sarafu ndogo zaidi that's why mia na mia mbili zinapungua taratibu
 
Ni hatari kweli kweli maana hapo inaonekana wanaacha kuzitengeneza kwa makusudi ili mia tano ndo iwe sarafu ndogo kama member mmoja alivyosema hapa ndo shida ilipo
 
Kama ni hivo zimeanza kuwa adimu pipi kifua au peni au daftari ndogo, itakulazimu uchukue pipi za mia tano ili uwepushe usumbufu wa chenchi?
 
Shoppers Supermarket ya MLIMANI CITY hawana “change” ya shilingi MIA au MIA MBILI
Wanakupa Bublish ukale mbele ya safari
Value zao cha “change” ni 500/= 1000/= na kuendelea
 
sio shoppers tu madukani huku unalazimika kuchukua viberiti kwa lazima kufidia mia na miambili zako
 
Back
Top Bottom