Apewe tiketi ya Rwandair arudi kwao huyo mtutsi
Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
Tukisikia amedhurika TUTAANZA NA WEWE .
Unasikitika ni sasa? Kisa kandambili kukatikia Misri? Kanunue Yebo yebo ukaoge ulale.Amenisikitisha sana!
Ulinzi wa kazi gani? Kwani hujui Yebo yebo/Kandambili haijawahi kuvunja record ya mnyama/Simba ya kumtoa Mwarabu? Hata Bahanuzi anajua ndio maana hakuhangaika kufunga ile penalt.Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
huyu mtoa mada hili jina halitendei haki kabisa. Bora angejiita huihui.
Walioenda kupaki gari la kinyesi nyumbani kwa Nchunga walikuwa washabiki wa timu gani vile?Bahati mbaya sisi mashabiki wa Yanga hatupo hivyo.
asamoah alikosa,terry alikosa tena wote katika mechi muhimu.
ndo mana mimi sipendi kucheza mpira, tangu nione yule mchezaji wa Colombia (Eskoba) ameuawa kisa tu kajifunga kwenye kombe la dunia, sitaki kifo cha kijinga.
Yani ni bora niende kuandamana na CDM ili polisi waniue kwa risasi au bomu kuliko kuuliwa na mashabiki wenye hasira
Haaahaa mkuu mimi si kandambili si unaona kina Amavubi,Jabulani walivyokuwa na hasira naye. Eti wanasema sio raia
ni kweli mkuu anunue yebo alale.Unasikitika ni sasa? Kisa kandambili kukatikia Misri? Kanunue Yebo yebo ukaoge ulale.