Serikali Impe Ulinzi Said Bahanuzi!

Serikali Impe Ulinzi Said Bahanuzi!

Walioenda kupaki gari la kinyesi nyumbani kwa Nchunga walikuwa washabiki wa timu gani vile?

Sasa aliyofanya Mchunga yalikuwa ya ndani ya uwanja au Nchunga Bakari mchezaji wa African Sports ya Tanga.
 
Yanga waache ujinga , hakuna mchezaji hapa bongo anaejua kucheza penati kama Bahanuzi so Yanga's fans should die quitely lol.
 
Yanga waache ujinga , hakuna mchezaji hapa bongo anaejua kucheza penati kama Bahanuzi so Yanga's fans should die quitely lol.

sisi tumeshamsamehe awe na amani ila akomae katika mechi zijazo ili tujenge imanu nae.
 
yanga tumeshamsamehe Bahanuzi, sasa tuangalia mechi zilizopo mbele yetu, ili tutoe dozi za uhakika.

Mbel daima nyuma mwiko.
 
Hahahahaa! Yanga hoyeeee, au zile 12 za wale vibonde tuzihamishie kwa wamisri??
 
Jamani TUACHE UTANI KWENYE MAMBO YA MUHIMU. KUNA WATU WANAHASIRA NA BAHANUZI BALAA KWA KUKOSA PENALTY JANA.WANAWEZA KUMDHURU JAMAA KWA HIYO SERIKALI INA JUKUMU LA KULINDA WANANCHI WAKE!! NATOA HOJA.
Klabu yake ina wajibu wa kufanya hivyo.
 
Yanga acheni us***! Kwan nu yeye mwenyewe ndo alikosa?!
Mkimdhuru ndio mtavuka?
 
Back
Top Bottom