Serikali Imewekwa Mfukoni na Kampuni ya Multichoice!

Serikali Imewekwa Mfukoni na Kampuni ya Multichoice!

Angeweza kama angekuwa nje wa mfumo wa kifisadi wa CCM.

Ni kweli tuna vijana wazuri kama kina January Makamba lakini wanaharibiwa na mfumo.

Hivi WAKUU mna matumaini gani na huyu January Makamba? Hivi lini Shetani akazaa Malaika? Huyu ni zao la Kifisadi na atadumu hivyo!!! Si tuliletewa nakala kivuli hapa jamvini ya dada yake kuomba pesa kwenye makampuni ya madini ili ndugu yake atumie kupata ubunge? Mbona mnasahau wkuu? Sasa katika hali hiyo unategemea atapata wapi ujasiri wa kuwatetea WaTanganyika mbele ya waliyo mwezesha kupata ubunge? Yeye atakuwa mtumwa wao milele.

Tumefika hapa tulipo, na tutaendelea kuumizwa na wanao itwa wawekezaji hadi pale tutakapo amka na kujua haki zetu. Tufike mahala tukatae kunyonywa na hao wanao itwa WAKWAPUAJI. Tuna viongozi wasio na uwezo. Wamepewa uongozi kama fadhila, hivyo wanaogopa kupingana na masilahi ya walio weka madarakani.

Hakuna cha mfumo wala nini. Kilichopo mbele yetu ni Uongozi wa maslahi binafsi. Mbona kina Mwakyembe wanachanja mbuga ki ukweli, si wapo kwenye mfumo wa CCM?

Tuamke waDanganyika saa ya ukombozi ni sasa, na tuache kulalama bila kuchukua hatua.

Mimi sio kwamba sina uwezo wa ku-join DsTv (ninao). Lakini kwa kutambua unyonyaji huu, nimeamua kuwa mmoja kaiti ya walio amua kukataa unyonyaji wa hali ya juu wa aina hii: Amua sasa na ikatae DsTv kama una uchungu na pesa yako. Vinginevyo endelea kuliwa.
 
Mkuu Nadhani tuko pamoja kwa swala la January makamba Na hawa wezi makaburu Wa DSTV.

Najua kabisa January sio tu mtetezi Wa mafisadi bali hata yeye ni fisadi, Sikuwa Na maana ya kumtetea isipokuwa niliongea tu katika kile kipengele cha kama yeye anaweza kusaidia kanpuni ya Multichoice kupunguza gharama.

Mimi nawachukia sana mafisadi Na kwa maana hiyo hata CCM naichukia toka moyoni. Hii ni kwa sababu CCM ni chama cha kifisadi Na ndicho kimezuia maendeleo ya nchi hii.

Nimekuwa nikilipia DSTV nikijua kwamba ni wezi lakini nikifikiri kwamba jinsi wanavyokuwa na wateja wengi watapunguza gharama. lakini nimeshawajua hawa jamaa ni wezi Na 'opportunistic'. Na hiki kitu ndio kilinisukuma nitake kupata maoni ya wana jf wenzangu wanasemaje Na tuangalie uwezekano wa kupambana Na hili
 
Tatizo haliko DSTV bali channel zenyewe zinatakiwa. Zijiorodheshe na kulipa hakuna dezo
Hapa ujue wakionekana dstv ni kuwa watu wengi zaidi wataona hizi tv so matangazo yao pia
So walipe wataonekana
TV za kenya zote K24 , citizen , ntv . Kbc , nk zipo ndani ya dstv
Hivo ndio ukweli

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nachoona hapa ni win win situation. Pamoja na kwamba chanel kama ITV watafanya biashara zaidi hata DSTV watapata subscribers wengi zaidi kwa kupunguza bei na kuingiza local channels
 
Wataachaje kuhalalisha wizi kama huu wakati wenyewe wanaiba kwenye madini na ufisadi uliokubuhu serikalini. Jakaya kikwete na serikali ya Chama Cha Majambazi ni janga la kitaifa.
 
DSTV wahusika sana, imagine now nipo kwenye TV yangu naangalia Kombe la klabu bingwa duniani. Isingekuwepo ningeangalia wapi? Hayo ya cost nayawaza baadaye sana, cha muhimu nipate service ya uhakika na kwa wakati ninaoihitaji.

Mkuu inabidi u mind na cost kwa sababu hawa jamaa wana take advantage kwa uhitaji wetu na kukosa alternative.
 
Wataachaje kuhalalisha wizi kama huu wakati wenyewe wanaiba kwenye madini na ufisadi uliokubuhu serikalini. Jakaya kikwete na serikali ya Chama Cha Majambazi ni janga la kitaifa.

Hii serikali ni janga kuu la nchi.

Ufisadi ni Kansa kama isipodhibitiwa itatafuna kila mtu Na hata wale wanaoshabikia kwa kufaidika na ufisadi nao wataangamia
 
Kama huna uwezo acha kutumiaDSTV. nenda zuku ama startimes na agape
Ndugu wanabodi nashangazwa
sana kwa msimamo wa kampuni ya Multichoice ambayo inatoa huduma ya
kuonyesha chanel za TV za digitali nchini kwa kupitia DSTV.

Kampuni hii haijaonyesha nia au tuseme imekataa kuweka chanel za kitaifa
za hapa nyumbani ambazo ndizo zinatupa habari za hapa nyumbani.

Nashangazwa sana na msimamo huu pamoja na ukimya wa serikali hasa
kupitia TCRA na wizara husika ambao ndio wanapaswa kulinda maslahi ya
wananchi wake.

Inavyoelekea baadhi ya viongozi wa serikali wana maslahi binafsi kwenye
kampuni hii. Iweje kampuni zingine kama Star time na Zuku waweze
kuingiza chanel zetu za kitaifa kama ITV na Star Tv kwenye bundle zao
lakini DSTV wakatae? Hakuna mantiki yoyote ya kutoziingiza hizi chanel
kwani ni chanel ambazo si za kulipia.

Hii ina maana watu tulio na DSTV baada ya tarehe 31 mwezi huu hatutaweza
kuona chanel zetu labda kama utanunua king'amuzi kingine ambacho nacho
uwe unakilipia. Na kama TV yako haiwezi kuchukua ving'amuzi viwili basi
itakubidi ununue TV nyingine! Au uondoe deki nk

Pia ingawa hawa jamaa wanatoa huduma kibiashara lakini bei zao ni kubwa
mno tofauti hata ukiwa huko kwao SA na hata huwezi ukalinganisha na watu
wanavyotozwa huko ulaya au marekani ambako wao ndio wenye kipato
kikubwa. Huduma za TV ni chanzo cha taarifa na elimu (information &
education) kwa karne hii kama ilivyo simu za mkononi si anasa tena Bali
ni huduma muhimu kwa wananchi.

Pamoja na kwamba hawa Multichoice wana miaka 15 wakitoa hii huduma ya
DSTV na sasa hivi wana wateja wengi ambapo ingewezekana kupunguza bei
kwa kiwango kikubwa lakini bei zao zimebaki kuwa za kiwizi. Sasa hivi
wanatudanganya kwa kupunguza asilimia 10!

Pamoja na kwamba kujiunga na DSTV ni hiari kama ilivyo kujiunga na
makampuni ya simu za mkononi hii haihalalishi wizi kwa mteja na kichwa
ngumu kukataa kuingiza TV zetu za kitaifa za kitanzania na serikali yetu
ikiwaangalia na kuendelea kutoza gharama ya wastani wa 120,000 kwa
mwezi ambayo ni sawa na elfu 4 kwa siku!
 
Dstv kama kampuni inataka sana kuweka local channels ila kuna disagreement fulani ambazo nadhani watakubaliana tu sooner or later.
 
Kama huna uwezo acha kutumiaDSTV. nenda zuku ama startimes na agape

Mkuu hata kama una uwezo kutetea haki yako na wengine ni sahihi. Hapa hatuzungumzii uwezo lakini haki zako kama mteja.

Sisi angalau tuna uwezo hata wa kutoa malalamiko, kutumia hizi nafasi kwa manufaa ya wote si kitu kibaya hata kama una uwezo. Acha ubinafsi.

Lakini hata kama suala ni uwezo nadhani uwezo ninao na ndio maana nimeweza kulipia premium bouquet kwa miaka Sita na nusu hadi sasa na line yangu haijawahi kuwa off air!
 
Dstv kama kampuni inataka sana kuweka local channels ila kuna disagreement fulani ambazo nadhani watakubaliana tu sooner or later.

Nadhani tatizo ni maslahi. Lakini hii issue inatakiwa iwe win win or lose lose situation. Hakuna anayetakiwa aamcharge mwenzake inatakiwa tu kuchangia gharama kwa sababu hivi vituo vinarusha matangazo kwa wananchi bure
 
Kitu chochote kisichokuwa na mpinzani ni tatizo. Kufa kwa GTV ilikuwa pigo sana. Bei wanazotoza hawa jamaa ni biashara kichaa kabisa. Dawa yake na hivi ving"amuzi vianze kuonyesha michezo mbalimbali ikiwemo ligi kubwa duniani na wasibaniwe na wakubwa maana wakubwa wanapewa matangazo ya DSTV bure
 
Mkuu uko sahihi kabisa kwa sababu Watu wengi tunalipia bei kubwa kwa sababu ya fursa ya kuangalia ligi mbalimbali.

Na hili ndilo la kuibana serikali, inabidi wavunje mkataba wao Na Multichoice Wa kuwafanya wao tu ndio wana haki ya kurusha ligi kubwa hasa za uingeeeza na uhispania Na kukataza makambuni mengine.

Hapa inakiuka misingi ya haki ya ushindani wa haki Na biashara huria kwa Mwingine kulindwa Na sheria
 
Wakuu ni sikum10 tu zimebaki serikali kuzima mitambo ya analogy na si serikali wala Multichoice wametangaza hatma ya subscriber wa DSTV kama wataweza kuendelea kuangallia TV za kitaifa zinazoonekana bila maliponau la.
 
Siku 3 zimebaki, si serikali wala Multichoice wametupa jibu kama watumiaji wa DSTV watapata local channels bila kuongeza king'amuzi
 
Nafikiri kuna mambo inabidi tuwekane sawa kidogo.

Kwa uelewa wangu. DSTV hawahusiki na kulazimishwa kuweka channel local kwenye decoder zao. Ni vituo vinavyorusha matangazo yao toka ardhini (terrestrial) ndiyo wanawajibika kuweka local channels.

Punguzo la kodi kwenye decoder haliwahusu DSTV , ni decoder za kutumia antenna za kawaida siyo madish

Serikali iliongeza kodi kwa watumiaji wa DSTV, ni vizuri tukajua kama illiwahi kupunguzwa. I doubt.

Kuhusu umiliki wa vipindi kama ligi za ulaya, naamini DSTV wanapata haki hizo kwa waandaaji na siyo serikali.

Pamoja na yote hayo bado naona kama bei yao iko juu sana, na kama wao hizo juu ni sababu wanazoweza kuja nazo lakini la msingi ni kukosekana kwa ushindani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Wakuu ni sikum10 tu zimebaki serikali kuzima mitambo ya analogy na si serikali wala Multichoice wametangaza hatma ya subscriber wa DSTV kama wataweza kuendelea kuangallia TV za kitaifa zinazoonekana bila maliponau la.

TV zipi za kitaifa zaidi ya TBCCM?
 
Back
Top Bottom