Kinachoudhi zaidi ni kwamba, channel zote nzuri za makala na uchambuzi kama BBC knowledge,History Channel, Crime & investigation zimewekwekwa kwenye bundle ya primium yaan Tzs 120,000/
Sasa kwa wengi wanaolipia hiyo premium bundle ni kwa ajiri ya mipira na kwenye mabaa. Hawangalii kabisa hizo channel. Badala ya kuziweka hata kwenye family package, maana hii iko kielimu zaidi, wameiweka kwenye bundle ya juu ambako wengi hawangalii! Hata ukiwaomba hawakusikilizi. Hivi tv si ni kwa ajili ya entertainment na Elimu? Hawa jamaa wanaudhi sana