Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,978
- 6,672
HahaaKwani ukisema kashindwa kuiendesha nchi utakonda!?
Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila tunahitaji kuondokana na mawazo ya reli za mkoloni, Huu ni muda wa kuwaza kisasa, kuna reli zinahitaji sana kujengwa kujenga uchumi na kupunguza umaskini , mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!Hata ukistaafu huna kitu, ukiangalia kikokotoo unazirai!!!!!Kashindwa kila kitu, yaani kashindwa hata kuteua tu !
Tulikosea nini mkuu wakati yuko pale kwa mujibu wa KATIBA? Tuelezee hiko tulichokosea🤔Alikuja na 4R,kama mwalimu wa UPE nazo zimemshinda😂😂.
Tulikosea sanaa.
Upo sahihi mkuu Ila kwa muda aliobaki nao sidhani kama anaweza kuiunganisha mikoa kwa reli kama usemavyo, labda apewe miaka 5 mingine, lakini kwa Hali hii ya high cost of living, Kikokotoo na kutochukua hatua pale anapotakiwa kuchukua hatua juu ya wateule wake wanapokosea na upigaji wote huu unaoendelea wananchi bado wanaimani nae?Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila kuna reli zinahitaji kujengwa mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!
Usafiri wa reli wa kuunganisha mikoa husaidia kubeba mizigo mingi na kushusha gharama za usafirishaji na hivyo kushusha bei za bidhaa kutoka production area kwenda consumption area. This is how European economy is built and flourish.
Muhimu ni kuweka kwenye ilani ya Chama ajenda ya kutandaza reli nchi nzima ili kwenye miaka yake mitano ijayo aanze kuzijenga kufungua nchi, kupunguza umaskini na kuongeza mapato ya serikali , na Marais watakaomfuatia Bimkubwa nao wazijenge maana duniani tunapita tu hata wakiondoka wawe walifanya kitu, wiki hii wazee kibao wamehama ulimwengu huu, swali ni je tunawakumbuka kwa lipi haswa?Upo sahihi mkuu Ila kwa muda aliobaki nao sidhani kama anaweza kuiunganisha mikoa kwa reli kama usemavyo, labda apewe miaka 5 mingine, lakini kwa Hali hii ya high cost of living, Kikokotoo na kutochukua hatua pale anapotakiwa kuchukua hatua juu ya wateule wake wanapokosea na upigaji wote huu unaoendelea wananchi bado wanaimani nae?
Mama amekuta shirika liko ICU, na kulifufua si mchezo, Tanesco cha mtoto.Kashindwa kila kitu, yaani kashindwa hata kuteua tu !
Shirika gan lilikua ICU?Mama amekuta shirika liko ICU, na kulifufua si mchezo, Tanesco cha mtoto.
Sasa kama CDM wamejenga ofisi yao kwa miaka 30, sasa hivi wanagombania rushwa za uchaguzi, ndio uwakabidhi matrilioni ya nchi!? Zimwi likujualo!!!
Tulikosea kwenye katibaTulikosea nini mkuu wakati yuko pale kwa mujibu wa KATIBA? Tuelezee hiko tulichokosea🤔
Kashindwa big time!! Yaani tunakosa mzani wa kumpima. Kila kitu na kila mahali kapwaya!! Amefanikiwa kutengeneza Genge la Wizi la TaifaKashindwa kila kitu, yaani kashindwa hata kuteua tu !
Sgr na Bwawa!!? Unamzungumzia nani? Au ulipotezwa na takwimu za kupika za kina Januari ili kupoteza Legacy ya Jiwe?Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila tunahitaji kuondokana na mawazo ya reli za mkoloni, Huu ni muda wa kuwaza kisasa, kuna reli zinahitaji sana kujengwa kujenga uchumi na kupunguza umaskini , mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!Hata ukistaafu huna kitu, ukiangalia kikokotoo unazirai!!!!!
Usafiri wa reli wa kuunganisha mikoa husaidia kubeba mizigo mingi na kushusha gharama za usafirishaji na hivyo kushusha bei za bidhaa kutoka production area kwenda consumption area. This is what we need hapa bongo. This is how European economy is built and flourish.
Hatua hawezi kuwachukulia wanaoiba!! Wanaibà kwa niaba yakeUpo sahihi mkuu Ila kwa muda aliobaki nao sidhani kama anaweza kuiunganisha mikoa kwa reli kama usemavyo, labda apewe miaka 5 mingine, lakini kwa Hali hii ya high cost of living, Kikokotoo na kutochukua hatua pale anapotakiwa kuchukua hatua juu ya wateule wake wanapokosea na upigaji wote huu unaoendelea wananchi bado wanaimani nae?
Unataka wajenge reli wakati wao ndio wanamiliki maroli ya mizigo na mabasi ya abiria. Hata hii reli itawashinda wataweka watu watakaohujumu miundo mbinu na kuna uwezekano hata nauli za treni zitakuwa kubwa kuliko uhalisia ilimradi tu watu waamue kuendelea na mabasi na malori.Duh!! Kwenye SGR na Bwawa na ndege naona ameweza, ila tunahitaji kuondokana na mawazo ya reli za mkoloni, Huu ni muda wa kuwaza kisasa, kuna reli zinahitaji sana kujengwa kujenga uchumi na kupunguza umaskini , mf Dodoma Manyara, Manyara Singida, Tanga Dodoma, Dodoma Iringa, Dar Lindi Mtwara, hapo ndo atakuwa kafungua nchi kisayansi na sio kupitia filamu yake kwa maoni yangu!! Ile inaleta wazungu tu ila raia wengi wako taabani, maskini haswa!! Ukiwa na kazi ya maana ukoo mzima unaomba hela!!Hata ukistaafu huna kitu, ukiangalia kikokotoo unazirai!!!!!
Usafiri wa reli wa kuunganisha mikoa husaidia kubeba mizigo mingi na kushusha gharama za usafirishaji na hivyo kushusha bei za bidhaa kutoka production area kwenda consumption area. This is what we need hapa bongo. This is how European economy is built and flourish.