Serikali imeshindwa kuendesha NHIF

Unataka wajenge reli wakati wao ndio wanamiliki maroli ya mizigo na mabasi ya abiria. Hata hii reli itawashinda wataweka watu watakaohujumu miundo mbinu na kuna uwezekano hata nauli za treni zitakuwa kubwa kuliko uhalisia ilimradi tu watu waamue kuendelea na mabasi na malori.
Hilo la viongozi kumiliki mabasi na malori na kuua treni nililiwaza ila nikasema inategemea iwapo Bimkubwa nae yumo kwenye hiyo bizness kama hayumo litawezekana na Maza kuacha legacy ya reli maana yule wa Msoga kaacha legacy yake kujenga barabara.

Unaweza kuwaza kivingine kama yale mashirika binafsi ya ndege ya viongozi yalivyoua ATC ila mbona huko imewezekana na ndege zimenunuliwa.

Waambiwe malori na mabasi yao wapeleke Burundi nchi inahitaji reli kupunguza umaskini kwa haraka kwa watu wengi
 
Back
Top Bottom