Nani kama mama, mradi mkubwa wa awamu ya 6 ni Kusafiri na kulamba asali kwa wingi, lets go Piraa
Ni kwa TanRoads sio kwa kila TaasisiBarua ya Tanroad wakikataa Posho za Safari hii hapa.
Mambo yanazidi kugeuka? Yamekuwa Makumu?
Acha ujinga, serikali ilipandisha viwango vya Posho na kusema kwamba bajeti zibakie zile zile..Ni Bora kwamba wameliona hili mapema. Ifikie sehemu hela za Serikali zisitumike hovyohovyo. Tuwe wazalendo jamani. Hivi kweli 250k, 220k watu wanaenda safari siku 10 , mamilioni. Wakati miundombinu yetu bado ikiwa duni kiasi hiki.
Mimi pia ni mnufaika wa nyongeza tena kwa asilimia 120 lakini moyoni nilikuwa nasononeka sana kuwaumiza watanzia wenzetu kwa kujipendelea kiasi hicho.
Kama Kuna hela nyingi kiasi hicho za kujilipa 250k kwa siku, kwa nini wasizipeleke kwenye Miradi ya Maendeleo kuliko kutumia hivyo kila siku Ughaibuni kukopa!! Sio fair kabisa!
Tusihangaikie kujipendelea, tuhangaikie Taifa kwa ujumla. View attachment 2301473
Wewe endelea kupiga miayo tuu.Hii nchi soon tutakua kama Sri-lanka ukweli hii nchi imeshawashinda tayari, nchi haina pesa kabisa tunategemea mikopo, pesa zanapigwa na wajanja wachache. Tutashuhudia mengi sana ni suala la muda.
Hicho kichwa cha Tabora Boys, Yale na Princeton hakiwezi kuwa sawa na kichwa cha kwenye mti wa mdigrii aka jalalani.Waziri wa Fedha bora kabisa alitepigwa vita ya udini kuwa eti amejenga Msikiti Wizarani!!
Nalikumbuka gazeti la Motomoto na Uhuru ndo yaliongoza kwa propaganda hii
Sri Lanka wenyewe walifika point ile kwasababu ya mikopo iliyopitiliza. Walikopa sana hadi ikafika point ikawa ni ngumu sasa kukopa tena hadi ikabidi wakope mikopo ya kulipa mikopo.Hii nchi soon tutakua kama Sri-lanka ukweli hii nchi imeshawashinda tayari, nchi haina pesa kabisa tunategemea mikopo, pesa zanapigwa na wajanja wachache. Tutashuhudia mengi sana ni suala la muda.
Barua ya Tanroad wakikataa Posho za Safari hii hapa.
Mambo yanazidi kugeuka? Yamekuwa Makumu?
Hizi double standard sijawi ona. Watawachanganya wadau wa maendeleo.Serikali haijafuta posho za safari. Wala TANROADS hawajakataa posho za safari.
Waraka kutoka kwa katibu mkuu uliweka wazi kua kama kuna taasisi I nadhani viwango vipya haviwezi kutekelezwa kwa sababu bajeti ya mwaka mpya fedha 2022-2023 imeshapitishwa, basi watumie viwango vya zamani.
Hivyo basi, kuna taasisi ambazo hali yao ya kifedha inawaruhusu kuadopt rates mpya za per diem na extra duty allowance na kuna taasisi ambazo haziwezi (kama TANROADS kwa mujibu wa hii barua.
Kwa hiyo posho za safari zipo pale pale kwa kutegemea na bajeti kwa taasisi husika.
Mkuu, nashukuru,nimecheka maana kwa vitu vizito tunavyopigwa navyo si mchezo😀 😀 😀 😀 😀 Nani kama mama, mradi mkubwa wa awamu ya 6 ni Kusafiri na kulamba asali kwa wingi, lets go Piraa
Walimu wamepigwa tenaHahaha
Ova
Lah!!! Walamba asali hao. Hivi na Marekani tunaenda ee!!? Maana tumealikwaNi kwa TanRoads sio kwa kila Taasisi
Kwa nini tusiende labda?Lah!!! Walamba asali hao. Hivi na Marekani tunaenda ee!!? Maana tumealikwa